Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

da!!!!..kajiingizia tango???......huyo tundu lake kama kalvati!!
 
Shetani ni Mungu wa dunia yako si hii, hii ina mwenyewe Boss, tulizana usichanganyikiwe
 
Kuvaa hereni ni mapambo tu,usipende fatilia Mila za watu,,njoo,usukumani,ugogoni,umasaini,unyatuluni,utatuluni n.k
 
Huyo boss wa idara nyeti ndonataka kujua kwa kirefu ilikuwakuwaje.

Isije ikawa fix kwa ajili ya kuboresha andiko lako, maana habari hiyo hatujawahi kuisikia pamoja na kuzagaa kwa mitandao ya kijamii.
 
Huyo boss wa idara nyeti ndonataka kujua kwa kirefu ilikuwakuwaje.

Isije ikawa fix kwa ajili ya kuboresha andiko lako, maana habari hiyo hatujawahi kuisikia pamoja na kuzagaa kwa mitandao ya kijamii.
Huwezi kusikia hovyo. Mimi ndio nakupa info.
Watanganyika mpaka Ayo TV itoe habari au Mange ndio ewaaah
 
Sory mkuu, eleza bas ilikuwaje.
Hatujui kama tango alinunua mwenyewe sokoni au alimwagiza mtu but alijiingiza akiwa kwenye choo cha ofisi ambacho ni private toilet. Utamu ulipomkolea akajikuta limezama lote na kutoa hawezi. Akakimbizwa hospital na driver huku driver hajui bosi anaumwa nini.
Kesho watumishi kupitia hospital kumcheki bossi ndipo jamaa akaropoka yule mgonjwa aliyejiingiza tango.
Ni aibu
 
Na yeye kwanini sijui aliingiza lote, sijapenda kabisa
 
alikuwa na upwiru!!......ivi naomba nikuulize ndugu yangu rafikimzuri,,,,,ivi ili swala la usenge wanazaliwa nalo au ni kujiendekeza?
Upwiru gani teena wa kwenda na tango kazini wakati dildo zimejaa kibao, kama hawezi dildo anunue booty plug anakichomeka anakiacha humo humo kama kavaa ped, nyege zikiisha anakatoa
 
Duh!Mambo ya Tanga na tango!
 
alikuwa na upwiru!!......ivi naomba nikuulize ndugu yangu rafikimzuri,,,,,ivi ili swala la usenge wanazaliwa nalo au ni kujiendekeza?
Kwa sasa hv wengi wanajiingiza kwa sababu ya tamaa ya pesa, hawana kazi wala hawataki kujishughulisha, wanapenda maisha mazuri na wao waonekane kwenye makumbi ya starehe, mwisho wa siku wananunuliwa mipombe kidogo kidogo wanalewa na wanafanyiwa hivyo.

Wengine, wanaiga kwa kuangalia mitandaoni tuu kwa kuanza kupenda jicho na baada ya muda na wao wanatamani kuanza kuliwa jicho,

Wengine walianzishiwa na watu wakaribu wakati wa udogo wao kwa maana ya majira, marafiki, ndugu au watu wa karibu katika mazingira ya kihomehome na mwisho wa siku wanazoea, si unajua ukishaliwa jicho hata kwa kubaka huwezi sema unaona ni fedheha so mwisho wa siku wanazoea wanakubuhu.

Kuna wengine wanatamani tu dyudyu kwa kweli, nao wapo kibao, yaani akiona zip ya mwanaume imetuna yaani roho inashtuka kwa kweli, hiyo ni hivyoo tuu kwa kweli, unaweza ukawa nae mtu wa hv yaan anatamani awe anakuona tuu au anatamani hata mlale nae ika anashindwa kukwambia.

Kuna wengine wanasema wanazaliwa na homoni watu wanasema ila sijawahi kuthibitisha kwa kweli kama zinapelekea kutumani dyudyu but inaweza ikawa kweli lakin wapo wengine wako hivyo na ni vitombi kwelikweli.

Kitu kingine huko mabordingi ukipeleka mtoto wako muombee sana huko ndiko watu hujifunza mambo mengi, wanapooga pamoja unakuta mwingine anapenda kuangalia tuu dyudyu za wenzake yaan kikubwa ni kuombea kizazi chako.

Mwisho hili swala lipo sana na kujua kwamba huyu ni mdau sio rahisi kihivyo kwa nch yetu, si viongozi wa dini si wa kiserikal so watu wengi wanafanya kikubwa usikere mtu.

Haya mambo yana usiri sana, na unaweza ukawa unaona mtu anapinga vikali kumbe ndio mdau mkubwa wa machoo😅, salam kwa rafk yangu mmoja Arusha, hayupo humu ila ninachotaka kusema moyo ni kichaka, kila mtu ana siri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…