Nilimaliza siku nne bila kula chochote, Nilikuwa naona kifo hiki hapa

Umenikumbusha mbali mpaka machozi yamenilenga.

Nikisoma IFM nakaa kigamboni,demu wangu wa Mzumbe akiwa na mimba kubwa, home kwetu hawajui chochote, yani ni surprise watakuta tunarudi na mtoto baada ya vyeti.

Kaja na mimba toka Moro likizo ndogo getto,hatuna hata mia,ile njaa ile siji isahau...tumetoka mbali.
 
Demu ako alikaza sana mimba afu ali.
 
Sasa wewe saa 12 unaita Usiku..vipi ,au Vodka + Mo Energy !
Nadhani mkuu wewe ndio utakuwa under influence of alcohol au akili yako imekuwa disturbed.

Nenda Kaangalie tena vizuri post uliyoniquote. Nilichopost Mimi ni πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š, hapo nikionesha appreciation kwa Domhome , ambaye yeye alipost saa nane na robo usiku.

Achana na double kick au k vant, sio nzuri kwako kaka
 
Bidada umemwacha au bado unaishi naye....
 
Haya maisha acha kabisa. Watu hawajui tu wanaume tunatokea wapi. Na bado tulikaza. Hawa madogo siku hizi wanafumiliwa malinda wakati sisi miaka yetu tulikaribia kufa kabisa na malinda yetu yapo sawa. Hakuna kuuza ubingwa.
Unakubali vipi kuaga ubingwa kisa upo apeche.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka sana
Sasa mabeseni ya watu ikawaje tena
 
Noma sana
 
Mluu Analyse huyo MAKULUGA said: alipaswa swali hilo aniulize mimi na sio wewe. Jamaa alikurupuka !
 
kuna mpuuzi kanichoma sehemu napo pata ugali wangu, naona anataka niingie kwenye huu msoto nawaza sana nimfanyaje huyu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…