Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Ukikojoa mkojo hauruki unamwagika tu kama mzee. Kuna muda mbele huoni ni giza tu.Koo linakauka.... Sauti inagoma kutoka. Mate unayapata kwa mbali

Daaah........... Hapa ukawa unapiga game kisawa sawa ili upate msosi. Huwa bado unamkumbuka huyo dada?Msoto na maisha ya geto noma sana hasa michongo ikiyumba, kuna kipindi flani huko nyuma hali ilikuwa mbaya sana kila siku nafunga bila thawabu,
ilibidi kujilipua kwa bidada mmoja hivi muuza misosi ili tu ni-survive, hakuwa mzuri kimuonekano ila sa ningefanyeje,
Ila nashukuru hapo ndipo nilipojifunza kusimamia kucha kisawasawa na kunyoosha goti mpaka lukwiri, maana nilihofia show ikiwa mbovu msaada unaweza kukata nikarudi kusota na nenge
😂😂😂Koo linakauka.... Sauti inagoma kutoka. Mate unayapata kwa mbali halafu machungu kinoma. Unakuwa dhaifu hata mashine haisimami hamu inakata... Ikisimama unasikia maumivu tu na kero maana ukipata na ukipiga demu unatoa upepo tu... Kama tairi lililotobolewa.
Haya maisha acha kabisa. Watu hawajui tu wanaume tunatokea wapi. Na bado tulikaza. Hawa madogo siku hizi wanafumiliwa malinda wakati sisi miaka yetu tulikaribia kufa kabisa na malinda yetu yapo sawa. Hakuna kuuza ubingwa.Hii stori sijawahi kumuhadithia mtu yoyote. Ilikua mwaka 2017 nilikua naishi geto peke yangu.
Miaka ya nyuma nilikua siamini kama mtu anaweza kulala na njaa siku mbili asife. Lakini toka mwaka 2017 rasmi nilianza kuamini mtu anaweza kukaa na njaa wiki nzima na asife.
Nilipata changamoto kubwa ya kimaisha mwaka 2017, mwenye nyumba alikua ananidai kodi ya nyumba nilikua sijamlipa miezi kadhaa. Anaweza akaja asubuhi akagonga sana mlango nisimfungulie akihisi sipo kumbe nipo ndani nime lock na ufunguo. Au mara nyingine naweza amka hata asubuhi sana saa kumi asinikute. Kurudi pia nilikua narudi usiku hata saa saba usiku ili asije nidai hela kwa sababu sina,. Ingawa Arusha kuna vibaka usiku lakini niliamua hawa vibaka nitalala nao mbele maana sina namna nyingine.
Kulala siku tano bila kula ilikua kawaida, hiyo kushindwa kutema mate nime experience sana. Nilikopa sana maduka ambayo nilozoeleka mpaka yakaisha nikawa sina pa kukopa pengine. Kuna mama mmoja tulikua tunasali wote alikua anauza samaki wa kukaangwa,mihogo,ndizi etc muda wa usiku. Siku nikitingwa na njaa nilikua naenda kujipigisha story kwa yule maza mpaka namkopa.
Siku moja nilipigwa na njaa Kali sijala siku kadhaa nimelala nashindwa hata kuamka sina hata nguvu. Nikaona sasa leo officially kabisa naenda kufa. Nikajikongoja niende nje dukani kama naweza kopa. Hiyo ni mida ya saa sita usiku maduka yote ninayokopa yamefungwa limebaki moja tu ambalo muuzaji sikopagi kwake sina mazoea kabisa, hata yule mama muuza samaki amefunga muda sana kwa hiyo sina jinsi. Nikaamua kujikongoja kwenda home nikafie huko. Hapo tumbo linakata balaa. Kwa ambao hamjawahi kukaa na njaa kwa muda mrefu fahamu kuwa, tumbo linakua kama linavuta kwa ndani.
Nikiwa njiani narudi nyumbani nikakutana na dogo mmoja, huyu dogo miaka ya nyuma alikua anaishi na mama ake ni single mother. Enzi hizo dogo anasoma tulikua tunaishi mtaa mmoja, dogo alikua anamsumbua sana mama ake na alikua hataki kwenda shule enzi hizo anasoma so mimi ndo nilikua namchapa na kumpeleka shule.......... Sasa nilipokutana nae nikamwabia "alafu we msengE ulinisumbuaga sana wakat unasoma kila siku nafanya kazi ya kukupeleka shule, lete elfu tano chap nikanywe bia"...... Aisee kweli mungu yupo, dg alinipa elfu tano nikaenda nunua mazaga pale dukan nikaenda home gonga msosi wa maana. Aisee nikikumbuka ile siku uhai ungenitoka.
Ni story ya huzuni lakini nimecheka sanaBaada tu ya kumaliza Elimu nikawa nimefanyiwa kajisherehe flani pale home wakanipa na zawadi kati ya zawadi hizo kulikuwa na pesa.
Nikaona hapa hapa nianze mchakato wa kuhama home. Maana niliona home ni kama wameanza kunizoea sasa. Kuna vi ishu vidogo dogo wananiambia nami niwe nafanya wakati madogo wapo. Nikaona tu hapa mzee anaanza kujenga mazoea nami.
Nikawaza nikaona huko mbeleni wataniambia niwe namsaidia dada kuosha vyombo. Maana mzee alishaanza kusema niwe nikiamka asubuhi kama siku hiyo sitoki nihakikishe uwanja upo safi, niwe naosha gari pia. Niwe nawaandalia dogs msosi.
Nikaona mazoea yameanza. Halafu kale kadada ka kazi nikaanza kugundua kumbe ni kazuri bwana. Sikuwa tu nakaangalia kwa utulivu siku za nyuma. Nikaona kananawiri na kuanza kujengeka.
Nikaona haka naweza kukala kuliko kusubiria nipate pesa then ndo nionane na Fatou maana Fatou ilikuwa mpaka guest house. Mbayo angalau standard tsh 15,000 hamjala na kunywa soda. So angalau 40 kwa siku na usafiri. Kuipata hiyo ni baada ya kujichanga mwezi au zaidi. So nikawa nawaza naanzaje maana sina uzoefu.
Mazeri naye akawa anani check sana.akiona nipo kimya sana room anakuja kugonga ananipa kazi...nikawa nasema sijui anahisi najichukulia sheria mkononi?au nacheck porno?
Wakati huo huo ananicheck namwangalia vipi dada mwanaisha toka Tanga.ndo alikuwa dada yetu wa kazi.basi nikawa sina raha home.
Nilipopata zile zawadi na pesa nikaona nitafute ghetto.maana nlikuwa nawaonea wivu sana wenzangu waliokuwa wanaishi ghetto.nikaona hapo niongee na jamaa yangu ambaye naye alikuwa na mawazo kama yangu.
Tukaamua kuzichanga.tukaenda tafuta room ubungo riverside.tukanunua godoro jiko,masufuria,ndoo na vyombo kadhaa vya kuanzia TV na subwoofer yangu nilinunua nikiwa chuo.maisha yakaanza.
Home niliwaaga kuwa nimepata kakibarua sehemu sasa inabid niwe karibu na ofisi coz pia nitakuwa nasafiri safiri au narudi late hours so ili kuepusha usumbufu ni bora nikae karibu.hawakupinga.mi nlishachoka kaa home aiseee....home kuna chosha sana.
Basi huo mpaka kitaa ghetto na mshkaji.asubuhi na bahasha Zetu za khaki town. Ulikuwa mwendo wa pass ndefu goal.mkikomunika asubuhi mpaka jioni tena mnakula mnalala.
Tukagundua mihogo ndo inakaa sana tumboni so ikawa ni mapande ya mihogo asubuhi.mpaka jioni tena.kisha kesho.tumesambaza sana bahasha miaka yetu.mpaka siku jamaa yangu anasema kuna kazi ya marketing and selling sehemu flani kesho tuulambe twende.
Twende tumevaa Kikristo.yaani tai na shati kuchomekea....daaah nami pigo hizo si zangu kabisa.nikaazima kwa Medi. Nikagonga vitu na viatu very smart.hao mguu kwa mguu mpaka mitaa flani Kurasini huko. Tulikaa sana kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 jamaa ndo wanakuja kutuita tupo wengi kinyama.
Wakaanza kutupa darasa kwanza....kazi ya marketing na sales ikoje mpaka saa 11:30 wakasema tuje kesho na picha tatu,barua serikali za mitaa,kitambulisho cha kura na barua ya udhamini. Na tuwe very smart.
Wale mabwege kesho yake tumeenda wanatukabidhi mabeseni,vacuum flask,na mazaga zaga mengi tubebelee kutembeza kitaa. Daaah....nikaona haya mambo ya kiwaki sana.nikaondoka na vile vitu tukaachana na jamaa yangu kuwa kila mtu aendelee hadi kesho. Nikapita pita mitaa nikauza beseni 2 nikapanda gari.huyoooo ubungo home.nikatua mzigo nikazima simu.
Jamaa kuja niamsha saa 3 hoi.ananiuliza vipi.nikamwambia ule mzigo ndo umefika home.siwezi ile kazi.naye akaniambia ametembea kitaa kaenda gonga nyumba flani kumbe anaishi demu mmoja alimfukuzia kipindi tunapiga kitabu.akajisikia fedheha sana.so hivyo vitu ndo vimefika hapo ghetto.
Yale maisha yalikuwa magumu kuna siku 4 nilikuwa sijatia msosi njaa inauma mpaka nakaribia kufa nikawa nakula nyanya na vitunguu ambavyo vilikuwa pale home.na maji ya ku download. Siwezi sahau.kumbe vitunguu ni vitamu tu wala havina shida.ingawa nliharisha sana mwanzoni.
Baadaye tukawa tunanunua unga tunachemsha uji tunaweka na mafuta ya kupikia.tunakunywa. ugali na kachumbari tumegonga sana. Yale maisha hata demu humtamani kabisa.mpaka tulipokuja kukaa sawa akili ilitengamaa ilikaa kwenye mstari vizuri.leo mwana akiniambia ana njaa namwelewa sana. Zile siku zingeongezeka nadhani ningekufa.maana nliishiwa nguvu hata kutema mate nlikuwa siwezi.yanaangukia kifuani.
maana unatoa kohozi lina acid kali unawaza umeze au uteme.ukisema uteme huwezi tema kwa nguvu maana umechoka. Hapo jamaa yangu alikuwa karudisha mpira kwa kipa kwa siku hizo chache....nikawaza kuna siku watanikuta nime danja mle ndani kwa njaa. Mi nlikuwa mbishi kinoma kurudi home.nligoma kabisa.
Jamaa kanikumbusha kuwa hata mkojo ukiwa na njaa hiyo ukikojoa hauruki. Ni kweli unachuruzika tu. Maana hata nguvu ya kuupush unakosa.
Hakuna kurudisha mpira kwa kipa mkuu. Just imagine dg wawa sasa hv hata vocha akipewa anafumuliwa marindaHaya maisha acha kabisa. Watu hawajui tu wanaume tunatokea wapi. Na bado tulikaza. Hawa madogo siku hizi wanafumiliwa malinda wakati sisi miaka yetu tulikaribia kufa kabisa na malinda yetu yapo sawa. Hakuna kuuza ubingwa.
Watu wasituone tumekaa kwenye magari wakadhani tumepitia njia rahisi kama zao.Life noma sana
Na macho pia yanakua hayaoni unatoa macho lakini unaona giza tu mbele.Njaa mbaya sana aisee, ni kweli kbsa mate hayatemeki, imenikuta hyo juzi tu hapo. Na sauti lazima ipotee
Maisha ya ghetto sio poa muhimu ni kukaza tuBaada tu ya kumaliza Elimu nikawa nimefanyiwa kajisherehe flani pale home wakanipa na zawadi kati ya zawadi hizo kulikuwa na pesa...
Ucku huu nipo ofisini nimejikuta nacheka kwa sauti kubwa hadi wenzangu wamenishangaa.Baada tu ya kumaliza Elimu nikawa nimefanyiwa kajisherehe flani pale home wakanipa na zawadi kati ya zawadi hizo kulikuwa na pesa.
Nikaona hapa hapa nianze mchakato wa kuhama home. Maana niliona home ni kama wameanza kunizoea sasa. Kuna vi ishu vidogo dogo wananiambia nami niwe nafanya wakati madogo wapo. Nikaona tu hapa mzee anaanza kujenga mazoea nami.
Nikawaza nikaona huko mbeleni wataniambia niwe namsaidia dada kuosha vyombo. Maana mzee alishaanza kusema niwe nikiamka asubuhi kama siku hiyo sitoki nihakikishe uwanja upo safi, niwe naosha gari pia. Niwe nawaandalia dogs msosi.
Nikaona mazoea yameanza. Halafu kale kadada ka kazi nikaanza kugundua kumbe ni kazuri bwana. Sikuwa tu nakaangalia kwa utulivu siku za nyuma. Nikaona kananawiri na kuanza kujengeka.
Nikaona haka naweza kukala kuliko kusubiria nipate pesa then ndo nionane na Fatou maana Fatou ilikuwa mpaka guest house. Mbayo angalau standard tsh 15,000 hamjala na kunywa soda. So angalau 40 kwa siku na usafiri. Kuipata hiyo ni baada ya kujichanga mwezi au zaidi. So nikawa nawaza naanzaje maana sina uzoefu.
Mazeri naye akawa anani check sana.akiona nipo kimya sana room anakuja kugonga ananipa kazi...nikawa nasema sijui anahisi najichukulia sheria mkononi?au nacheck porno?
Wakati huo huo ananicheck namwangalia vipi dada mwanaisha toka Tanga.ndo alikuwa dada yetu wa kazi.basi nikawa sina raha home.
Nilipopata zile zawadi na pesa nikaona nitafute ghetto.maana nlikuwa nawaonea wivu sana wenzangu waliokuwa wanaishi ghetto.nikaona hapo niongee na jamaa yangu ambaye naye alikuwa na mawazo kama yangu.
Tukaamua kuzichanga.tukaenda tafuta room ubungo riverside.tukanunua godoro jiko,masufuria,ndoo na vyombo kadhaa vya kuanzia TV na subwoofer yangu nilinunua nikiwa chuo.maisha yakaanza.
Home niliwaaga kuwa nimepata kakibarua sehemu sasa inabid niwe karibu na ofisi coz pia nitakuwa nasafiri safiri au narudi late hours so ili kuepusha usumbufu ni bora nikae karibu.hawakupinga.mi nlishachoka kaa home aiseee....home kuna chosha sana.
Basi huo mpaka kitaa ghetto na mshkaji.asubuhi na bahasha Zetu za khaki town. Ulikuwa mwendo wa pass ndefu goal.mkikomunika asubuhi mpaka jioni tena mnakula mnalala.
Tukagundua mihogo ndo inakaa sana tumboni so ikawa ni mapande ya mihogo asubuhi.mpaka jioni tena.kisha kesho.tumesambaza sana bahasha miaka yetu.mpaka siku jamaa yangu anasema kuna kazi ya marketing and selling sehemu flani kesho tuulambe twende.
Twende tumevaa Kikristo.yaani tai na shati kuchomekea....daaah nami pigo hizo si zangu kabisa.nikaazima kwa Medi. Nikagonga vitu na viatu very smart.hao mguu kwa mguu mpaka mitaa flani Kurasini huko. Tulikaa sana kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 jamaa ndo wanakuja kutuita tupo wengi kinyama.
Wakaanza kutupa darasa kwanza....kazi ya marketing na sales ikoje mpaka saa 11:30 wakasema tuje kesho na picha tatu,barua serikali za mitaa,kitambulisho cha kura na barua ya udhamini. Na tuwe very smart.
Wale mabwege kesho yake tumeenda wanatukabidhi mabeseni,vacuum flask,na mazaga zaga mengi tubebelee kutembeza kitaa. Daaah....nikaona haya mambo ya kiwaki sana.nikaondoka na vile vitu tukaachana na jamaa yangu kuwa kila mtu aendelee hadi kesho. Nikapita pita mitaa nikauza beseni 2 nikapanda gari.huyoooo ubungo home.nikatua mzigo nikazima simu.
Jamaa kuja niamsha saa 3 hoi.ananiuliza vipi.nikamwambia ule mzigo ndo umefika home.siwezi ile kazi.naye akaniambia ametembea kitaa kaenda gonga nyumba flani kumbe anaishi demu mmoja alimfukuzia kipindi tunapiga kitabu.akajisikia fedheha sana.so hivyo vitu ndo vimefika hapo ghetto.
Yale maisha yalikuwa magumu kuna siku 4 nilikuwa sijatia msosi njaa inauma mpaka nakaribia kufa nikawa nakula nyanya na vitunguu ambavyo vilikuwa pale home.na maji ya ku download. Siwezi sahau.kumbe vitunguu ni vitamu tu wala havina shida.ingawa nliharisha sana mwanzoni.
Baadaye tukawa tunanunua unga tunachemsha uji tunaweka na mafuta ya kupikia.tunakunywa. ugali na kachumbari tumegonga sana. Yale maisha hata demu humtamani kabisa.mpaka tulipokuja kukaa sawa akili ilitengamaa ilikaa kwenye mstari vizuri.leo mwana akiniambia ana njaa namwelewa sana. Zile siku zingeongezeka nadhani ningekufa.maana nliishiwa nguvu hata kutema mate nlikuwa siwezi.yanaangukia kifuani.
Maana unatoa kohozi lina acid kali unawaza umeze au uteme.ukisema uteme huwezi tema kwa nguvu maana umechoka. Hapo jamaa yangu alikuwa karudisha mpira kwa kipa kwa siku hizo chache....nikawaza kuna siku watanikuta nime danja mle ndani kwa njaa. Mi nlikuwa mbishi kinoma kurudi home.nligoma kabisa.
Jamaa kanikumbusha kuwa hata mkojo ukiwa na njaa hiyo ukikojoa hauruki. Ni kweli unachuruzika tu. Maana hata nguvu ya kuupush unakosa.
NITAENDELEA.......
😁😁😁😁Hii stori sijawahi kumuhadithia mtu yoyote. Ilikua mwaka 2017 nilikua naishi geto peke yangu.
Miaka ya nyuma nilikua siamini kama mtu anaweza kulala na njaa siku mbili asife. Lakini toka mwaka 2017 rasmi nilianza kuamini mtu anaweza kukaa na njaa wiki nzima na asife.
Nilipata changamoto kubwa ya kimaisha mwaka 2017, mwenye nyumba alikua ananidai kodi ya nyumba nilikua sijamlipa miezi kadhaa. Anaweza akaja asubuhi akagonga sana mlango nisimfungulie akihisi sipo kumbe nipo ndani nime lock na ufunguo. Au mara nyingine naweza amka hata asubuhi sana saa kumi asinikute. Kurudi pia nilikua narudi usiku hata saa saba usiku ili asije nidai hela kwa sababu sina,. Ingawa Arusha kuna vibaka usiku lakini niliamua hawa vibaka nitalala nao mbele maana sina namna nyingine.
Kulala siku tano bila kula ilikua kawaida, hiyo kushindwa kutema mate nime experience sana. Nilikopa sana maduka ambayo nilozoeleka mpaka yakaisha nikawa sina pa kukopa pengine. Kuna mama mmoja tulikua tunasali wote alikua anauza samaki wa kukaangwa,mihogo,ndizi etc muda wa usiku. Siku nikitingwa na njaa nilikua naenda kujipigisha story kwa yule maza mpaka namkopa.
Siku moja nilipigwa na njaa Kali sijala siku kadhaa nimelala nashindwa hata kuamka sina hata nguvu. Nikaona sasa leo officially kabisa naenda kufa. Nikajikongoja niende nje dukani kama naweza kopa. Hiyo ni mida ya saa sita usiku maduka yote ninayokopa yamefungwa limebaki moja tu ambalo muuzaji sikopagi kwake sina mazoea kabisa, hata yule mama muuza samaki amefunga muda sana kwa hiyo sina jinsi. Nikaamua kujikongoja kwenda home nikafie huko. Hapo tumbo linakata balaa. Kwa ambao hamjawahi kukaa na njaa kwa muda mrefu fahamu kuwa, tumbo linakua kama linavuta kwa ndani.
Nikiwa njiani narudi nyumbani nikakutana na dogo mmoja, huyu dogo miaka ya nyuma alikua anaishi na mama ake ni single mother. Enzi hizo dogo anasoma tulikua tunaishi mtaa mmoja, dogo alikua anamsumbua sana mama ake na alikua hataki kwenda shule enzi hizo anasoma so mimi ndo nilikua namchapa na kumpeleka shule.......... Sasa nilipokutana nae nikamwabia "alafu we msengE ulinisumbuaga sana wakat unasoma kila siku nafanya kazi ya kukupeleka shule, lete elfu tano chap nikanywe bia"...... Aisee kweli mungu yupo, dg alinipa elfu tano nikaenda nunua mazaga pale dukan nikaenda home gonga msosi wa maana. Aisee nikikumbuka ile siku uhai ungenitoka.
Mkuu huko ni Marekani au Kanda ,huku wenzio ni asubuhi tunawahi ...Jumuiya !
Mkuu unakunywa bia!Hii stori sijawahi kumuhadithia mtu yoyote. Ilikua mwaka 2017 nilikua naishi geto peke yangu.

Mkuu tuko wote kwa Nyerere. 😅😅Mkuu huko ni Marekani au Kanda ,huku wenzio ni asubuhi tunawahi ...Jumuiya !
Sasa wewe saa 12 unaita Usiku..vipi ,au Vodka + Mo Energy !Mkuu tuko wote kwa Nyerere. 😅😅