Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha.

Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu hakuwezi alinitambaa sana mwilini ili anivingirishe ila nilijikaza na ile ngozi yake laini ilivyokuwa inanitambaa mwilini.

Nilijikaza lakini alibahatisha kunimeza mguu wote; alishindwa kunimalizia kwasababu nilikuwa nimetanua mguu wa kulia hivyo sikupita mdomoni mwake. Niliokolewa baada ya masaa matatu ila mguu uliungua sana.

Huwezi amini tulikuwa tunaangaliana jicho kwa jicho huku nimelala, ujasiri huu niliupata baada ya kulewa sana pombe ya Kiroba ilikuwa maarufu sana kule Mbeya inaitwa Double Punch.

Chatu msikie tu. Yupo kama jini au shetani, yale macho yake mkitazamana kwa karibu.

El Nino ilinyesha mwishoni mwa mwaka 1997 na mwanzoni mwa mwaka 1998. Hkujawahi kutokea El Nino nyingine tena!
 
Rose matako si nimeagiza chapati zikowapi halafu mbona ujaleta na supu
IMG_20200209_090338_481.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio najiuliza, maana hizi simu za picha nyingi zimeingia 2011 mwishoni, 2012...

Mimi Tecno P3 yangu nilinunua 2012...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataja simu za mwanzo kuwa n camera unaitaja tecno? Tangu lini hiyo kampuni ikagundua teknolojia mpya. Mimi simu ya kwanza ya camera niliiona kwa brother mmoja alitoka Dubai, 2008 ilikuwa.
 
Back
Top Bottom