Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

Hiyo laki tatu mnakunywa nini? Mwambie anywe serengeti lite maana hauwezi mnunulia mtu ambaye sio mpenzi wako pombe za gharama.
 
Uzuri wa pombe Kali chupa moja tu hawezi ongeza nikimpiga JB kubwa harudi mi nazuga na castle lite
 
Acha kutembea na mpangaji mwenzio huku ukijua kabisa una mke hapo unaishi nae..! Bora ungekuwa bachera nakushauri usimle utakuja kunishukru baadae nimekaa pale
 
Back
Top Bottom