Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

Mkuu tambua hilo jambo lipo tu kumpenda mtu sio dhambi means kuna ishu zinatokea ziko nje ya uwezo wako yeye anaweza kudhania kama humpendi in reality you efforts has limited to accomodate her mfano kuna sehemu ulishindwa kumpa pesa ni tatizo nje ya uwezo wako ila anatafsiri kwamba umembania kama ipo ipo

Mi 2019 nilishindwa ivyo ivyo kwa demu tulipendana sana nikamwacha aende kwa jamaa aliye na uwezo sio dhambi maana hata mwelekeo wa maisha nilikuwa sina kiroho safi kawekwa mimba jamaa anapanda kumuoa sijajua wanaendeaje ila nilishindwa kama elfu 70 akasema bora tuachane nikasema okey to let her go

We usiwaze kama ipo ipo
Asante mkuu hapa nitakubali mkuu niache aende zake

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hayupo mtu ataesafiri kuja kukwambia inatosha sasa juu ya huyu binti zaidi ya wewe mwenyewe kusema sasa basi acha maisha yaendelee
 
Kwema.wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa.
gapi nikamwambiila siku tatu akaniambia sawa lkn si unaniona tu unaendelea na ratba zako pale pale nikaishiwa nguvu kiukweli
Tafuta mwanamke mwingine mwaminifu umpende.achana na huyo Dada,dalili zote zinaonyesha hakupendi na ana mtu mwingine.
Huna akili
 
Kwema.wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Pole mkuu. Piga ngumi kifuani na msahau maisha yanaendelea
 
Vijana matatizo madogo mnakuza mimi nilishawahi kuitwa mama,ex wangu alipigiwa simu na hawala ake usiku akaulizwa umelala na nani akamwambia mama nilihisi mwili unatoa jasho usiku halafu nipo njombe

Asubuhi nikamcheki jombaa angu akanambia njoo nilipikiwa chakula nikala ndani ya siku 2 sikuhisi kama nilishakuwa na mtu kama yeye toka 2012 sijawahi hata mtext
 
Da sasa hiyo menu naipataje kiukweli huyu dgo ananinyanyasa Sana natamani itokee nimchukie mazima

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa.
Mimba nje ya kizazi ikatolewa? bado watakukula pesa zako sana tu
 
Ngoja nikupe mbinu nayotumiaga kumuacha mtu na simrudii kamwe.

Hua nafikria kua huyu mtu ananiona sina akili,zoba ,mjinga mjinga ,fala ,mshamba, wa kuja ,zezeta ndo maana ananifanyia ubaya anaonifanyia (mfano usaliti) na hua na imagine kua kila nikimsamehe na kuendelea nae hua ananicheka sana na kuwahadithia wenzie jinsi nilivyo zwazwa kwake. So nikifikiria hivi tu simtafuti tenaa.

Kwahio na wewe unaweza jaribu hii kumuacha mazima.
 
Mkuu yani hamjataftana mwaka bado tu unampendaa??

Mkuu kama unaingiza pesa walau kidogo basi tafuta manzi mwingine walau utumie muda mwingi na yeye huenda ukamsahau.

Ila huu upendo ni wa ajabu sana sana, we mzebaba kweli umependa aisee na mbaya zaidi uyo manzi anajua kua unampenda utapelekwa puta wewe utachunwa mpaka ubaki mifupa afu unaachwa ujipange tena, ukiinuka kidogo huyooo mwendo unakua huohuo.
 
Story yako kidogo ilingane na yangu,Ni mchaga hivyo hivyo na alikuwa na bwana mwingine na akapata mimba,Nilipogundua kuwa alichepuka siku za hatari nikamtimua kwao Moshi mpaka mtoto azaliwe tupime DNA.

Hata mimi nikiri roho inaniuma sana hasa ukizingatia nilimpenda sana lakini haina jinsi,Siwezi kuishi na mwanamke msaliti,Hata mtoto kama atazaliwa wa kwangu atabaki kuwa mama mtoto tu,lakini si mke.INAUMA sana! Lakini hakuna jinsi,Jikaze mkuu,Maisha lazima yaendelee.
Mimi nimekuelewa ukitaka ushauri ni pm nikuelekezee hapa siwezi kuna,wachagga nasio fresh kuwaponda nipo serious
 
Vijana matatizo madogo mnakuza mimi nilishawahi kuitwa mama,ex wangu alipigiwa simu na hawala ake usiku akaulizwa umelala na nani akamwambia mama nilihisi mwili unatoa jasho usiku halafu nipo njombe

Asubuhi nikamcheki jombaa angu akanambia njoo nilipikiwa chakula nikala ndani ya siku 2 sikuhisi kama nilishakuwa na mtu kama yeye toka 2012 sijawahi hata mtext
Hahahahahahah kwahio mama ukaendelea kulala tu hadi asubuhi😂😂😂
 
Back
Top Bottom