Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

We jamaa umekisoma hiki ulichandika kweli???Nafikiri utakuwa na tatzo la kiakili si bure nakshauri tafuta mtaalam wa afya ya akili mapema kabla ujaanza kuokota makopo
Hahahahahahah wahuni mnamsagia kunguni mtoa mada😂😂😂
 
Ngoja nikupe mbinu nayotumiaga kumuacha mtu na simrudii kamwe.

Hua nafikria kua huyu mtu ananiona sina akili,zoba ,mjinga mjinga ,fala ,mshamba, wa kuja ,zezeta ndo maana ananifanyia ubaya anaonifanyia (mfano usaliti) na hua na imagine kua kila nikimsamehe na kuendelea nae hua ananicheka sana na kuwahadithia wenzie jinsi nilivyo zwazwa kwake. So nikifikiria hivi tu simtafuti tenaa.

Kwahio na wewe unaweza jaribu hii kumuacha mazima.
Hii mbinu ndio njia nyepesi ya kumfuta mtu moyoni na akilini! Mchukulie yeye ndio looser na kumbuka mabaya yote anayokufanyia kisha yakatae kuanzia sasa amini you are the best!

Mbona fasta tu yani tena very smoothly huumii yani tena kwa mtu aliyekufanyia vimbwanga ndio dah😂
 
Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa.
Ila mzee yaani mbususu zote hizi duniani moja tuu inakupa tabu. Wacha uzembe bwana acha nae. Kidume sometimes inabidi ufanye maamuzi magumu.
 
Hii mbinu ndio njia nyepesi ya kumfuta mtu moyoni na akilini! Mchukulie yeye ndio looser na kumbuka mabaya yote anayokufanyia kisha yakatae kuanzia sasa amini you are the best!

Mbona fasta tu yani tena very smoothly huumii yani tena kwa mtu aliyekufanyia vimbwanga ndio dah😂
Kweli nakubaliana na hii njia. Wee kumbuka mabaya yake tuu. Alafu ukipita kwa ule uzi wa picha za warembo wakali ndio hapo utakapojiona zoba kwa kusumbuliwa na mbususu
 
Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa.
Pole huwezi kuitwa mwanaume uliyekua kiakili na kifikra kama hujapitia changamoto kama hizi trust me ni kama chanjo ya hawa wadada huyu hakupendi na usijidanganuye kumtafutia kazi akija kuapata atakupiga chenga na roho itakuuma sana umesha kwepa risasi we tulia fanya yako tafuta wanawake wengine , pesa sio kinamfanya mwanamke akupende pesa inakufaya uwavutie ,,,wanawake wapo tuu mkuu jenga maisha yako NIppsey hussle anakuambia hivi '' first get the money and respect then power and whores comes next"
 
Vijana matatizo madogo mnakuza mimi nilishawahi kuitwa mama,ex wangu alipigiwa simu na hawala ake usiku akaulizwa umelala na nani akamwambia mama nilihisi mwili unatoa jasho usiku halafu nipo njombe

Asubuhi nikamcheki jombaa angu akanambia njoo nilipikiwa chakula nikala ndani ya siku 2 sikuhisi kama nilishakuwa na mtu kama yeye toka 2012 sijawahi hata mtext
Noma sana
 
Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa.
Kwa kifupi mabinti wz kichagga wameongoza kupiga matukio na hii ni sababu wanajua kumanipulate wanaume nje ya kabila lao kirahisi sana kingine wanatumia sana ndumba yani ukiwa potential kwao lazima wakulishe vitu, talking from experience...
 
Mkuu kwa umri wako ulitakiwa uwe umekwisha oa na una watoto watatu. Tafuta mwanamke mwingine. Huyo piga chini hata kama ulikuwa unampenda kiasi gani. Kwanza ana matatizo ya kiafya. Piga chini fasta hata moyo ukivuja damu. Unahudumia mgodi utakaokufilisi aisee. Tafuta mwanamke anayejua maisha, mchakarikaji, na atakayeweza kuishi hali yako ya sasa. Muwe mmepishana walau miaka 5. Nishukuru baadae na kadi ya mwaliko nitumie inbox.
 
Wachagga warembo sana, jamaa ni haki yake kuzama hivyo. Sio kosa lake, wale viumbe ni special bhana!
 
Kwa kifupi mabinti wz kichagga wameongoza kupiga matukio na hii ni sababu wanajua kumanipulate wanaume nje ya kabila lao kirahisi sana kingine wanatumia sana ndumba yani ukiwa potential kwao lazima wakulishe vitu, talking from experience...
Oh my God! Yaani wakiona una dalili za kutoboa tu unalishwa vitu? Real or theory?
 
Wanakufanya chuma ulete zikikata wanafanya hawakujui, husiombe mzee zikate utapata meneno makali hujawai sikia toka uzaliwe

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kwa upumbavu huu, nikioa sitaki shobo za kipuuzi na ndugu wa kike, sijui mama mkwe, mara dada yake, mara nani sijui yaani sitotaka mazoea nao kabisa. Kuzoeana nao ndio mwanzo wa kufanywa msukule, yaani hata home sitohitaji waje hovyo hovyo, nitakuwa mkali kwenye hili.
 
Back
Top Bottom