Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

Hapo haupendwi move on ingia kwny mahusiano mapya, acha kujikuta bwege
 
Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa.

1. Kosa lako la kwanza ni kumpenda mwanamke SANA.
2. Kosa la pili ni kumfanya mwanamke huyo AJUE kwamba unampenda sana.
3. Kosa la tatu ni kuendelea kumtafuta mwanamke ambae alishakuzingua MWAKA MMOJA BAADA ya kuachana nae!

Amin amin nakuambia, ukifanya makosa haya matatu kwa mwanamke HAIJALISHI NI WA KABILA GANI lazima atakuacha tu, hakuna namna.

Mfano: Unapomtafuta mwanamke ambae mlishaachana unajua ni ujumbe gani yeye anapata? Kwamba wewe hakuna mwanamke mwingine anaekutaka au unaeweza kumpata! Kwamba wewe ni boya ndio maana pamoja na vituko alivyokufanyia bado huwezi kumuacha. Kwamba kakuweka kiganjani huna ujanja kwake!

Na hakuna kitu wanawake hawapendi kama mwanaume boya, asietakwa na wanawake wengine, na ambae yupo kiganjani.
 
Ili nimejikuta mimi ni mwanaume pekee nisie endeshwa na wanawake, ngoja nijipige kifua mala tatu then nijiite mimi ni mwanaume
 
Itoshe kusema amekukomesha.Sio tuu ulimpenda ila ulimuamini ukadhia ni Mungu.Safi Sana bila shaka umepata akili sasa.
 
Inaelekea unapitia wakati mgumu. But kuna wakati inabidi kuchukua maamuzi magumu na kusonga mbele. Hii itakusaidia kuepuka mabaya yajayo of which kwa kesi yako unaelekea huko maana kwa haraka-haraka inaonekana hakuna penzi hapo. Move-on and concentrate on things that are going to have a positive impact on you and your life (Achana na mapenzi ya Movie za KIDOSI kwani hivi viumbe huwa havijali hurt feelings & they are always short sighted kwenye haya masuala ya mapenzi......Sorry for saying that).
 

Utapumuliwa boya wewe. Mtu ukiona hapokei simu mida hiyo juwa umeshazidiwa kete. Ana mtu wake wewe simu zako anapokea ikitokea fursa.

Acha uboya tafuta mwanamke mwingine usituletee upuuzi wako hapa.
 
Wanaume wajinga kama wewe dawa yenu ni kugongwa hivyo vichwa vyenu hadi viwe kama ngoma za daku.

Hadi mwanamke anakutesa hivo inamaana hukutani na wanawake wazuri Zaid yake au!!!

Mnakera sana;!!
Kipendacho roho!!
Kuna time kidume unaingia sehemu unakamatika hadi huamini km ni weee.hahahah
 
Mkuu ... wanawake wakichaga wana matatizo gani naona watu wengi wana walalamikia??
 
Tafuta mahusiano mengine
Sometimes uvyozid kumpenda mtu yeye ndo anaacha kukuelewa
Kua busy na mishe zako
Huo muda unampgia simu yeye mpgie manzi mwingne
 
Ndugu yangu pole ila kaza moyo ondoka kwenye huo utumwa wa penzi la namna hiyo maana mateso tu

Mtu asiejali hisia zako huko ni kupotezeana muda na kuharibiana mood tu, fanya maamuzi
 
We acha upopoma, unajaza servers bure, mpende anaekupenda, maisha yakupe tabu na mapenzi yakupe tabu, piga chini utapata mwingine kwani ndio oxygen gas hiyo kusema hutopumua..
Ruhusu kichwa kifanye kazi, ukiruhusu moyo ukuongoze utakufa mapema na kizembe,
Wenzetu mnakuwa mna moyo gani ukampende mtu kuliko unavyoipenda nafsi yako.

Kuwa mwanaume walau kwa sekunde mbili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…