Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔 sasa hapo fanya kummilikishia au kabisaa umuuzie kama vip ww ndy ukimbie maana tayar jamaa kasha weka utawala wake hapoUzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k,
Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie.
Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo
nikitoa gharama za frame nayolipia laki 5 kila mwezi (AISEE !!), mshahara, allowance, umeme, usafi, Tra, leseni, n.k. naingiza faida ya laki 3 hadi 4, Kabla biashara haijashuka ilikuwa ni Laki 8+
msaidizii aliwahi kuniomba aanze kuweka bdhaa zake, Nilichukulia poa kwasababu niliona bidhaa anazouza ni ndogo na ni nje ya biashara nayofanya, Nikamruhusu.
Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000
Leo nilifika dukani hayupo kafunga, nina ufunguo wangu nikaingia, kuna kidaftari nilikiona kwenye draw.
Kapangiliaia vizuri sana hesabu zake, kila siku anafunga hesabu kwa faida ya elf 6 hadi 7, sometmes elf 8
Nilipiga picha fasta, nimefika home nimepiga hesabu, mwezi uliopita kaingiza faida 183,500
Kuna maamuzi kadhaa nataka nichukue
- Nimwambie awe anachukua faida asilimia kadhaa kwa biashara yoyote atayoifanya dukani kwangu
- Nisimlipe mshahara wake niwe nampa aloowance pekee, ajilipe mshahara kwenye faida
- Nimpe miezi kadhaa auze, baada ya hapo iwe biashara yangu
Ni jambo liliilonfanya nitafakari sana, nichukue maamuz yapi.
Kwa wale ambao mnaingiza mambo ya huruma, mle mlale
Mkuu, kwanza pole sana. Pia nimeangalia maoni ya wadau hapa kwenye thread nimeishia kusikitika sana mawazo ya wabongo yalivyo veery stupid and selfish[emoji34][emoji34] kujifanya eti huruma. Huruma kwenye biashara yako?Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k,
Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie.
Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo
nikitoa gharama za frame nayolipia laki 5 kila mwezi (AISEE !!), mshahara, allowance, umeme, usafi, Tra, leseni, n.k. naingiza faida ya laki 3 hadi 4, Kabla biashara haijashuka ilikuwa ni Laki 8+
msaidizii aliwahi kuniomba aanze kuweka bdhaa zake, Nilichukulia poa kwasababu niliona bidhaa anazouza ni ndogo na ni nje ya biashara nayofanya, Nikamruhusu.
Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000
Leo nilifika dukani hayupo kafunga, nina ufunguo wangu nikaingia, kuna kidaftari nilikiona kwenye draw.
Kapangiliaia vizuri sana hesabu zake, kila siku anafunga hesabu kwa faida ya elf 6 hadi 7, sometmes elf 8
Nilipiga picha fasta, nimefika home nimepiga hesabu, mwezi uliopita kaingiza faida 183,500
Kuna maamuzi kadhaa nataka nichukue
- Nimwambie awe anachukua faida asilimia kadhaa kwa biashara yoyote atayoifanya dukani kwangu
- Nisimlipe mshahara wake niwe nampa aloowance pekee, ajilipe mshahara kwenye faida
- Nimpe miezi kadhaa auze, baada ya hapo iwe biashara yangu
Ni jambo liliilonfanya nitafakari sana, nichukue maamuz yapi.
Kwa wale ambao mnaingiza mambo ya huruma, mle mlale
hakuna kunegotiate, kazini nimekuajiri usimamie majukumu yangu thats why nakulipa, sasa kama upo na ya kwako, yangu hautakua nayo makini kwa 100% cas akili yako iko kwenye biashara yako ambayo unatumia eneo langu na muda wangu ambao naulipia kwa kukupa mshahara. awe sset kivipi na biashara imeshuka na yeye ndio yupo hapo kazini anatakiwa kunipa maoni na ushauri why biashara inashuka na nifanye nini ipande, but haezi nipa huo uahauri cas akilivyake haiko hapo, iko kwenye biashara yake . Na bora hio biashara yake ingekua ni njia ya kuongeza wateja kwenye biashara yangu tusinge hata negotiate kitu, ningekuachia ufanye utakavyo , but no? hapana, this is busness not a charity
- Moja hata Elfu Hamsini Net unayopata bila kufanya kazi ni bora kuliko Milioni moja ambayo inachukua muda wako wote
- Mbili kwa yeye kupata nyingi haimaanishi na wewe ukiweka utapata nyingi huenda wewe usipate kitu
- Huyo mtu ni asset kwahio kuwa naye ni bora kuliko kutokuwa nae
- Kama mauzo yameshuka na yeye ni mtu mzima na muelewa mnaweza mkanegotiate katika kuchangia pango
- Usiangalie yeye anapata nini au ngapi angalia wewe kama unachopata kinakutosha au kama ni kidogo kuliko ambavyo ungeweza kutumia hio sehemu.
Kwahio unadhani ukimuajiri mwingine ndio faida itakuwa kubwa au huenda ikawa minus ?; Kama unaweza kupata mwingine bora kwanini hata uje kuuliza kwanini usifukuze uchukue huyo bora >hakuna kunegotiate, kazini nimekuajiri usimamie majukumu yangu thats why nakulipa,
Hio yangu nilianzisha tu au tulikubaliana ? Na kushuka mauzo ni sababu ya mimi uzembe wangu au Biashara imeshuka ? Na mimi yangu kupata kuzidi yako does it mean wewe ukifanya yangu na wewe utapata kama mimi ?sasa kama upo na ya kwako, yangu hautakua nayo makini kwa 100% cas akili yako iko kwenye biashara yako ambayo unatumia eneo langu na muda wangu ambao naulipia kwa kukupa mshahara.
Ulimuajiri ili akupe ushauri ? Kama imeshuka ni jukumu lako wewe kuangalia kama imeshuka na kama imeshuka sababu ya uzembe wake basi fukuza weka ambae wewe unaona anafaa zaidi. Ingawa hapo kumbuka bado unapata profit (which is more than majority ya biashara za Kibongo, mtu unakula loss hata ukikaa mwenyewe na hapo sio loss tu bali na muda wako)awe sset kivipi na biashara imeshuka na yeye ndio yupo hapo kazini anatakiwa kunipa maoni na ushauri why biashara inashuka na nifanye nini ipande,
Charity wakati anakuingizia faida ? Mkataba wenu ulikuwa kwamba mauzo yasishuke au ? Hapo mmefanya mkataba akuuzie na bado anafanya hivyo (kushuka kwa mauzo inategemea sio necessarily uzembe wake..., Kwahio choice is yours ukiona kwamba hafai wala hauhitaji ushauri wewe fukuza..., ila kama unaona bado unapata kwa sasa na wewe kuweza kuendelea na mengine angalia sana usije ukaruka majivu ukakanyaga moto... (Ungejua kitu kinaitwa leverage ungeona kwamba percent 5 ya kitu ambacho haupo wala hauweki input ni bora kuliko 100% ya kitu ambacho upo 24/7)but haezi nipa huo uahauri cas akilivyake haiko hapo, iko kwenye biashara yake . Na bora hio biashara yake ingekua ni njia ya kuongeza wateja kwenye biashara yangu tusinge hata negotiate kitu, ningekuachia ufanye utakavyo , but no? hapana, this is busness not a charity
Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k,
Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie.
Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo
nikitoa gharama za frame nayolipia laki 5 kila mwezi (AISEE !!), mshahara, allowance, umeme, usafi, Tra, leseni, n.k. naingiza faida ya laki 3 hadi 4, Kabla biashara haijashuka ilikuwa ni Laki 8+
msaidizii aliwahi kuniomba aanze kuweka bdhaa zake, Nilichukulia poa kwasababu niliona bidhaa anazouza ni ndogo na ni nje ya biashara nayofanya, Nikamruhusu.
Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000
Leo nilifika dukani hayupo kafunga, nina ufunguo wangu nikaingia, kuna kidaftari nilikiona kwenye draw.
Kapangiliaia vizuri sana hesabu zake, kila siku anafunga hesabu kwa faida ya elf 6 hadi 7, sometmes elf 8
Nilipiga picha fasta, nimefika home nimepiga hesabu, mwezi uliopita kaingiza faida 183,500
Kuna maamuzi kadhaa nataka nichukue
- Nimwambie awe anachukua faida asilimia kadhaa kwa biashara yoyote atayoifanya dukani kwangu
- Nisimlipe mshahara wake niwe nampa aloowance pekee, ajilipe mshahara kwenye faida
- Nimpe miezi kadhaa auze, baada ya hapo iwe biashara yangu
Ni jambo liliilonfanya nitafakari sana, nichukue maamuz yapi.
Kwa wale ambao mnaingiza mambo ya huruma, mle mlale
Kwahio unadhani ukimuajiri mwingine ndio faida itakuwa kubwa au huenda ikawa minus ?; Kama unaweza kupata mwingine bora kwanini hata uje kuuliza kwanini usifukuze uchukue huyo bora >
Faida depends on my plans and capital invested. alieuloza sio mimi, cas huo muda wa kuomba ushauri huku nautoa wapi? ningefanya maamuzi mwenyewe.
Hio yangu nilianzisha tu au tulikubaliana ? Na kushuka mauzo ni sababu ya mimi uzembe wangu au Biashara imeshuka ? Na mimi yangu kupata kuzidi yako does it mean wewe ukifanya yangu na wewe utapata kama mimi ?
walikubaliana thats why nmemwambia hapo ndio alimake mistake. in business no that bulshit
Ulimuajiri ili akupe ushauri ? Kama imeshuka ni jukumu lako wewe kuangalia kama imeshuka na kama imeshuka sababu ya uzembe wake basi fukuza weka ambae wewe unaona anafaa zaidi. Ingawa hapo kumbuka bado unapata profit (which is more than majority ya biashara za Kibongo, mtu unakula loss hata ukikaa mwenyewe na hapo sio loss tu bali na muda wako)
yani hujui kama in all companies and businesses boss huhitaji sana kupata feedbacks na opinion kutoka kwa wafanyakazi walioko front line? kupata loss inaezekana ndio, hata ue mwenyewe, thats why since ye hayuko anaacha mfanyakazi, anategemea mfanyakazi atoe muongozo na maoni ya jini anavoona biashara inaenda kwa mwajiri, ili mwajiri aongeze mbinu zaidi biashara ikae sawa. ila angekueko mwenyewe front, asingehitaji ushauri cas anaona kila kitu, but now haoni yuko mbali.
Charity wakati anakuingizia faida ? Mkataba wenu ulikuwa kwamba mauzo yasishuke au ? Hapo mmefanya mkataba akuuzie na bado anafanya hivyo (kushuka kwa mauzo inategemea sio necessarily uzembe wake..., Kwahio choice is yours ukiona kwamba hafai wala hauhitaji ushauri wewe fukuza..., ila kama unaona bado unapata kwa sasa na wewe kuweza kuendelea na mengine angalia sana usije ukaruka majivu ukakanyaga moto... (Ungejua kitu kinaitwa leverage ungeona kwamba percent 5 ya kitu ambacho haupo wala hauweki input ni bora kuliko 100% ya kitu ambacho upo 24/7)
Wabongo wengi sie ni vilaza kwenye biashara. Eti uruhusu mtu aanzishe biashara ndani ya biashara yako.hakuna kunegotiate, kazini nimekuajiri usimamie majukumu yangu thats why nakulipa, sasa kama upo na ya kwako, yangu hautakua nayo makini kwa 100% cas akili yako iko kwenye biashara yako ambayo unatumia eneo langu na muda wangu ambao naulipia kwa kukupa mshahara. awe sset kivipi na biashara imeshuka na yeye ndio yupo hapo kazini anatakiwa kunipa maoni na ushauri why biashara inashuka na nifanye nini ipande, but haezi nipa huo uahauri cas akilivyake haiko hapo, iko kwenye biashara yake . Na bora hio biashara yake ingekua ni njia ya kuongeza wateja kwenye biashara yangu tusinge hata negotiate kitu, ningekuachia ufanye utakavyo , but no? hapana, this is busness not a charity
hebu acha uzwazwa, baraka zipo kwa yeyote yule duniani, hata wewe. isipokua tumetofautiana kwenye vipawa, yaani hurka, muonekano, the way una interact na watu na communication skills, na tabia tumetofautiana.
- Mpe Mshahara wake kama mlivyokubaliana wala usipunguze hata 10.
- Usimzuie kufanya Biashara zake mradi Biashara Yako inaenda.
- Mungu alivyo wa ajabu utamzuia kufanya Vibiashara anavyofanya ukiona anapata Faida ili uanze wewe, utashangaa ukifanya wewe visikulipe... Acha tamaa...!
- Kama unaona anauza Ubuyu, Karanga, Maandazi na ndo vinamletea faida nzuri, kuliko kumzuia fikiria na wewe kitu tofauti... Uza Ice cream, Juice n.k huo ni mfano tu.
Kuna Watu wanakuja na Baraka kwenye Maisha Yako ama Biashara Yako, soon ukiwaondoa ama ukawafanya waondoke, wanaondoka na Nyota zao...!
Watu wengine hawaitaji wengine wapige hatua hata ndogo.Hiyo 180 ni hela ndogoMuite muweke chini, umueleze kikubwa biashara yako kaiona imedrop, gharama za frem, mshahara na vitu vingine biashara haiendi, yeye anaonaje.. Msikilize kwanza.
Muulize kwake biashara ikoje, kama inalipa vizuri, umuongezee posho, mshahara muuvunje mpaka pale biashara itakapokaa sawa.
Kama kweli anapata faida atakubali.
Lakini mkuu faida ya 180k ndio ya kukutoa roho?