Nilimshinda kwa hoja afisa usalama akaondoka kwa aibu

Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi.

Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as usual. Ila siku hii hakuchangamka sana kutokana na taharuki ya msiba.

Nikamwambia kila kitu kitaenda vizuri kwani mama Samia yupo na ndiye atatawazwa kuwa Rais.

Akaniuliza , je, ataweza kuvaa viatu vya Magufuli?

Nami nikamjibu kwa kumuuliza maswali mafupi?

Nikamuuliza:
Je, akiapishwa si atakuwa Rais kamili?

Rais Magufuli alivaa viatu vya Kikwete?

Je, kuna ulazima wa Rais aliyeko madarakani kuiga au kuvaa viatu vya Rais aliyepita?.

Kama Kila Rais aliyeko madarakani ataiga mienendo ya Rais aliyepita huoni kuwa tutarudi miaka ya 1963 kipindi Nyerere anatawala?

Alikosa majibu akasema Magufuli aliweka nchi mbele. Nikamuuliza Samia ataweka nini mbele?.

Daaahhh sijui atakwenda kunichomekea huko aendako.

Atajua mwenyewe.
Utajijua mwenyewe pia
 
Mimi siyo afi
Au ni wewe nini niliyekujibu juzi?
[/QUOTE
Mimi kwani ni afisa usalama wa kazini kwako? Maana inaelekea huyo uliyekuwa ukiongea naye ni mlinzi au afisa usalama hapo kwenu...
 
Huyo hakuwa afisa usalama alikuwa mhuni, ma afisa usalama wa kweli huwa hawajulikani hata na wake zao.
aisee si kweli dada angu. nina ndugu wa ukoo ambao wako humo kabisa.
na si kuadisiwa.. ni kwamba ukoo unajua. na ushadi kabisa walishajisema na kitambulisho juu.

itategemea na mazingira. hawa watu si malaika au mapepo kuwa wako extra vigilant. ni watu kama mm na ww
 
Jamaa kaona aibu hadi amefuta comment yake "Uhamiaji Tanzania - UT" anasema ni Usalama wa Taifa. Usalama wa Taifa magari yao ni namba za kawaida yaani T 123 XYZ plate ya njano kama kawaida. Sema mamba zao huwa zina mfuatano ambao kwa wanaoelewa huwa rahisi kujua. Mfano kwa sasa tumefika kwenye D number, angalia iliyokua mbele ya msafara wa mwili wa JPM Dodoma ni T 107 DPE, kwa Dar ilikua ni T .... DPE. Kesho angalia Zanzibar, then Mwanza na Geita/Chato, utaona T... DPE hivyo hivyo. Tofauti ni hapo kwenye number tu.
Umeniongezea kitu mkuu. Jamaa alikua akiona gari ina UT anajua ni usalama wa Taifa anafyata mkia kabisa.
 
Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi.

Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as usual. Ila siku hii hakuchangamka sana kutokana na taharuki ya msiba.

Nikamwambia kila kitu kitaenda vizuri kwani mama Samia yupo na ndiye atatawazwa kuwa Rais.

Akaniuliza , je, ataweza kuvaa viatu vya Magufuli?

Nami nikamjibu kwa kumuuliza maswali mafupi?

Nikamuuliza:
Je, akiapishwa si atakuwa Rais kamili?

Rais Magufuli alivaa viatu vya Kikwete?

Je, kuna ulazima wa Rais aliyeko madarakani kuiga au kuvaa viatu vya Rais aliyepita?.

Kama Kila Rais aliyeko madarakani ataiga mienendo ya Rais aliyepita huoni kuwa tutarudi miaka ya 1963 kipindi Nyerere anatawala?

Alikosa majibu akasema Magufuli aliweka nchi mbele. Nikamuuliza Samia ataweka nini mbele?.

Daaahhh sijui atakwenda kunichomekea huko aendako.

Atajua mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]hakika ulimuweza
 
Huyo hakuwa afisa usalama alikuwa mhuni, ma afisa usalama wa kweli huwa hawajulikani hata na wake zao.
Sio wote... Nenda halmashauri na wilayani utawakuta tena na ofisi zao zinajulikana kabisa. Tatizo tumejengewa taswira fulani na Usalama wa Taifa mpaka tunahisi kama ni miungu fulani hivi
 
aisee si kweli dada angu. nina ndugu wa ukoo ambao wako humo kabisa.
na si kuadisiwa.. ni kwamba ukoo unajua. na ushadi kabisa walishajisema na kitambulisho juu.

itategemea na mazingira. hawa watu si malaika au mapepo kuwa wako extra vigilant. ni watu kama mm na ww
Hao itakuwa machawa wa level za chini kabisa maana wako kila taasisi
 
Sio wote... Nenda halmashauri na wilayani utawakuta tena na ofisi zao zinajulikana kabisa. Tatizo tumejengewa taswira fulani na Usalama wa Taifa mpaka tunahisi kama ni miungu fulani hivi
Najua kuna wanaojulikana huko wilayani wengine ni undercover, shida bongo mnaonalaga usalama ni miungu watu flani, kila mtu akiwa exposed atafanyaje kazi yake
 
Ni kweli undercover hata families zao hazijui. Lakini kusema mtu kisa anajulikana sio afisa usalama wa kweli sio sawa.
 
Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi.

Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as usual. Ila siku hii hakuchangamka sana kutokana na taharuki ya msiba.

Nikamwambia kila kitu kitaenda vizuri kwani mama Samia yupo na ndiye atatawazwa kuwa Rais.

Akaniuliza , je, ataweza kuvaa viatu vya Magufuli?

Nami nikamjibu kwa kumuuliza maswali mafupi?

Nikamuuliza:
Je, akiapishwa si atakuwa Rais kamili?

Rais Magufuli alivaa viatu vya Kikwete?

Je, kuna ulazima wa Rais aliyeko madarakani kuiga au kuvaa viatu vya Rais aliyepita?.

Kama Kila Rais aliyeko madarakani ataiga mienendo ya Rais aliyepita huoni kuwa tutarudi miaka ya 1963 kipindi Nyerere anatawala?

Alikosa majibu akasema Magufuli aliweka nchi mbele. Nikamuuliza Samia ataweka nini mbele?.

Daaahhh sijui atakwenda kunichomekea huko aendako.

Atajua mwenyewe.
[emoji3][emoji3]
 
Hao itakuwa machawa wa level za chini kabisa maana wako kila taasisi
nope sio chawa. mmoja ni mtu mzima kabisa na yupo level za kati. japo si kiongozi mwandamizi.. lakin mtumishi wa miaka karibu 16 kazini. ana cheo cha kuaminika.
 
Hao uchwara Ili wapewe offer za bia na kutapeli watu aisee
Kuna mmoja alikuja kwenye biashara yangu akala msosi na kinywaji, muda wa kulipa anadai anasubiri mtu anakuja kulipa 🙄🙄🙄

Nikaona hamna tabu acha nisubiri. Baada ya muda akataka kutoroka, nikamuwahi nikamtia pini. Mara anaanza mimi usalama wa taifa. Alinichefua vibaya mno, hili pumbavu hata kama ni officer kweli leo kaingia choo kibovu. Nilimletea noma mpaka aliacha simu kwenda kunitafutia hela. Akaja baada ya 2 weeks kukomboa simu
 
Kuna mmoja alikuja kwenye biashara yangu akala msosi na kinywaji, muda wa kulipa anadai anasubiri mtu anakuja kulipa [emoji849][emoji849][emoji849]

Nikaona hamna tabu acha nisubiri. Baada ya muda akataka kutoroka, nikamuwahi nikamtia pini. Mara anaanza mimi usalama wa taifa. Alinichefua vibaya mno, hili pumbavu hata kama ni officer kweli leo kaingia choo kibovu. Nilimletea noma mpaka aliacha simu kwenda kunitafutia hela. Akaja baada ya 2 weeks kukomboa simu
Hao wanaojiita usalama ni matapeli na wengine hutumia hicho kigezo kupata wanawake aisee, Mimi mtu aniletee ujinga usalama nitakwambia Mimi unanihusu nini?
 
Jamaa kaona aibu hadi amefuta comment yake "Uhamiaji Tanzania - UT" anasema ni Usalama wa Taifa. Usalama wa Taifa magari yao ni namba za kawaida yaani T 123 XYZ plate ya njano kama kawaida. Sema mamba zao huwa zina mfuatano ambao kwa wanaoelewa huwa rahisi kujua. Mfano kwa sasa tumefika kwenye D number, angalia iliyokua mbele ya msafara wa mwili wa JPM Dodoma ni T 107 DPE, kwa Dar ilikua ni T .... DPE. Kesho angalia Zanzibar, then Mwanza na Geita/Chato, utaona T... DPE hivyo hivyo. Tofauti ni hapo kwenye number tu.
Zote Ni hivyo hivyo T 107 DPE hayo magari yapo mengi Yana plate namba zinafanana
 
Back
Top Bottom