Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Unasingiziwaje ambapo ushahidi unao hata hivyo hili swala linaye muuma ni wewe umeleta huku kwa ushauri lkn kumbe wewe ni jiwe Ndiyo maana wanakuhisi vibaya unadhani mtizamo wako ni sahihi, pia kwa haraka haraka nimegundua kwamba wewe ni mbinafsi,( you're selfish)Issue sio evidence sijashindwa kufanya hivyo natazama jinsi gani familia yangu ina watu wabaya nasubiri watapike na kuhara iwe ndio mwisho wangu kukanyaga kule mana hapo nitakuwa nimesingiziwa nitakuwa sahihi ili dhambi na machozi yangu yawalipe
Anaogopa watamwambia aiuze,ni mali iliyopatikana kwa pesa za usheitwan,😅😅😅Uliwaeleza kuwa umejenga nyumba Kwa pesa betting
Pesa yoyote ile lazima iwe na maelezo pamoja na ushahidi wa kweli hata kama ulishinda kupitia Casino!!Hapana siwezi kufanya hivyo
Wewe ndo fala. Huwezi kutoka from nowhere ukajenga nyumba bila kuwapa maelezo ya kueleweka hela zilipotoka.Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Hebu niwezeshe odds tatu za nguvu dadake nione weekend hii natokajeNlikua nmeamini story, hadi nlivofika hapa ndio nikagundua.....nahitaji na chapati mbili.
Ndugu yangu ushahudi haupatikani kwa kupakana mavi, katika maisha tunashauriwa kuwa na subra ya kufahamu mambo, ukitulia kwani hutaelezwa? Wamenikosea sanaPesa yoyote ile lazima iwe na maelezo pamoja na ushahidi wa kweli hata kama ulishinda kupitia Casino!!
Inawezekana kuunganisha dot hajui kwa maana hana communication skillsNa shetani alivyombaya atampa kaugonjwa ka wiki moja mama yako, hapo ndugu wanaunganisha dot.
Mama yuko sahihi. Kaka kaa muaminishe kuwa hujaenda hukoMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Comments reservedNilipofika nipo tayari kwa lolote kuliko kuwapenda tena, kama ni mavi wameshanipaka nimeshanuka, hayafai kusafisha tena na nimeshakubali kunuka
Je jeshi la Polisi likitaka uthibitishe pesa za kujenga hiyo nyumba utajibu hivyo kua huwezi kuthibitisha kwa kua wwe siyo mwizi!!?? Kijana weka wazi kila kitu kwa mzazi wako,tena mi ningekua Baba yako ninge hisi umejiunga na kile chama cha upinde na ndiyo fedha yako inakotoka!!Siwezi kuthibitisha fedha halali mimi sio mwizi namwachia Mungu amlipe
Siwezi kuhangaika kumthibitishia kana kwamba nimeiba naendelea kumtazama jinsi alivyo na mdomo mchafu nikichoka basi nitaamua kukaa mbali na yeye akae mbali na maisha yangu
Tunapoteza muda kumshauriMama yuko sahihi. Kaka kaa muaminishe kuwa hujaenda huko
Mama anakupenda Kuliko mafanikio yako
Hata usipofanikiwa anakupenda. Huyo Ndie Mama
Tukiwa maskinitabu,tukiwa matajiri tabuMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Dawa ya watu kama nyie ni kuwaigizia hayo mambo mnayosingizia watu ili muendelee kuchanganyikiwa na kupasuka vizuriJe jeshi la Polisi likitaka uthibitishe pesa za kujenga hiyo nyumba utajibu hivyo kua huwezi kuthibitisha kwa kua wwe siyo mwizi!!?? Kijana weka wazi kila kitu kwa mzazi wako,tena mi ningekua Baba yako ninge hisi umejiunga na kile chama cha upinde na ndiyo fedha yako inakotoka!!
hakika kabisa, hata mimi ningewaza wizi, madawa ya kulevya au amemtapeli mtu.Haiwezekani kijana amemaliza tu chuo, alafu mwezi unaofata una nyumba tayari na gari la kutembelea.
Mzazi atakayefurahia bila ya kujua chanzo cha mapato yako, hakupendi. Na pengine wazazi wetu wa kiafrika mawazo yao yataenda huko kwenye ulozi.