DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mama ni mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma comments zote...ww ni mwenye busara sana...hakika umemshauri vzr...hujataka kuhukumu kabisa..Nakuelewa unayopitia kiongozi,niseme POLE..jaribu kumshirikisha kiongozi wa Kiroho,mueleze ulichokifanya upande wako,kauli za mama ,na unavyojisikia...
Mama ataitwa na utapata wasaa mpya wakumuelewesha, na kiongozi wa kiroho atamuonya mama kwa hayo akuneneayo,na naamini mama atabadilika