Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

Ndugu watanzania wazalendo... Mwenye huu uzi mzalendo mwenzenu ana ugonjwa akili msihangaike nae. Huyuhuyu ana nyuzi zake zingine anasema yeye kaishi marekani na anaipiga vita Marekani na kuipa shavu bongo kwa kuimwagia sifa kedekede! Anajitia anaijua marekani kama kitu gani vile! Kumbe Zuzu!

Saiv anasema bongo nyoso 😂😂😂

Kweli mental illness is real! 😂😂😂
 
Watu wamefufua makaburi mzee punguza chai wewe si ulisema umeishi USA 🤣🤣🤣🤣
 
Nakuelewa unayopitia kiongozi,niseme POLE..jaribu kumshirikisha kiongozi wa Kiroho,mueleze ulichokifanya upande wako,kauli za mama ,na unavyojisikia...

Mama ataitwa na utapata wasaa mpya wakumuelewesha, na kiongozi wa kiroho atamuonya mama kwa hayo akuneneayo,na naamini mama atabadilika
Nimesoma comments zote...ww ni mwenye busara sana...hakika umemshauri vzr...hujataka kuhukumu kabisa..
 
Mzazi yoyote lazima ashtuke maana ankujuwa wewe tangu upo tumboni so lazima utoe maelezo yakueleweka hao wengine achana nao try kumkovice mama akuelewe maana kama ni mambo ya kafara ye ndo target ya kwanza kufa
 
Mama lazma aulize maana anajua utamtoa kafara muda si mrefu.
 
Maza ana wasiwasi kwamba inawezekana utajiri huo asioujua chanzo chake ukawa sababu ya yeye na familia yake kuangamia vibaya akidhani huenda umefanya kafara upate mapesa.
Jibu Kwa Maza lilikuwa Moja kwamba Maza nilicheza bahati nasibu fedha nzuri ikaingia na Sasa nna vipesapesa vya kubadilishia nguo.
Asingeacha kukuamini.
Nb. Jamii zetu za ki Afrika utajiri huonekana ka laana. Yaani ukiwa tajiri ni kama dhambi. Ukiwa huna pesa ndo unaonekana mwema.
 
Wewe ulishindwa nini kumwambia mama yako au kaka yako kwamba umeshinda kamali.
Sasa uibukie ghafla kwa nini wasiwe na wasiwasi?sio kila mtu anataka mtoto wake ajiingize kwenye mambo ya uganga
 
Alafu mbona unakasirika kwa vitu vidogo hivyo?eti kuitwa mchawi au freemason,my friend you need to grow up,mwanaume hawi hivo
 
Back
Top Bottom