Nilimsomesha binti akaishia kuwa mcheza show

Naandika hili hapa kwa moyo mkujufu, sina kinyongo na wala sijutii ila namhurumia sana.

Mwaka 2015 ilikuwa ni first appoitment yangu as mwalimu, nilimkuta huyu binti akiwa kidato cha tatu, baada ya miezi mitatu niligundua ni mtoto mwenye uwezo wa juu darasani.

Baadae nikaja kufahamu kama ni mtoto wa mazingira magumu, baba yake alifariki na mama yake yupo anaishi mazingira magumu sana na yupo Tabora kwao. So kwa kuzingatia uwezo wake na kukutana na bibi yake niliamua kumsaidia suala la shule as mdogo wangu na itabaki kuwa hivyo milele, i rate her as my young sister.

Mungu si Athuman form four alifaulu vizuri, nilifanya mchakato wa kumfanya achuguliwe shule za jirani na combination iwe PCB, nashukuru alichaguliwa shule na comb. hiyo, so nikawa namhudumia kama mdogo wangu na nilimshukuru Mungu kuwa umenipatia mtu ambaye ananipa experience ya kusomesha.

Na hata form six alifaulu bahati mbaya hakuchagulia course za afya, so ilibidi nikae nae tutafte course ambayo itampa ajira na akikosa ajira iwe rahisi kujishikiza, na ikawa hivyo.

Alichaguliwa chuo na akapata course ambayo tulitarget, alipokuwa chuo niliendelea kutake care asilimia zinaboki za bodi ya mikopo na kumpatia fedha za matumizi kama mtoto wa kike tena mwanachuo (nilifanya hivyo kwa moyo mkujufu as namsaidia mdogo wangu).

Alipokuwa chuo mwaka wa mwisho kabla ya semister ya pili alikuja rafiki yangu na kuniambia amekutana na mdogo wangu huyo na binti mmoja msagaji, tena kamuliza yule msagaji na msagaji kakili kuwa yule binti ni msagaji na ukizingatia ni tom boy ilinichanganya sana.

Sikuona shida nilimpigia kumuliza hilo na kweli kuwa hayupo chuo yupo mtaani, akajibu kuwa ni kweli yupo mtaani kuna likizo fupi na yeye sio msagaji wanamsema vibaya kwa sababu ya muenekano wake wa u Tom boy (nakumbuka hiyo simu ilikuwa ya mwisho kuonanana naye wala kuwasiliana, kila nikipiga simu hapokei na akipokea haongei.

Kinachoniuma ni pale nilipopiga hesabu kuwa amemaliza chuo na sasa yupo mtaani (hata kunijulisha nimemaliza chuo hakufanya hivyo, I said ni utoto unamsumbua), badaye niliamua kumtaftia kazi baada ya kumpigia na kuona hapokei niliamua kutuma sms hakujibu, na kila nikimuona yupo mtandaoni na anarusha video zake akicheza music.

Namhurumia kwa sababu sioni future kwa anachokifanya ila ndio hivyo sina njisi ya kukaa naye, najiwazia sasa kama ningesomesha mwanamke kwa hoja ya mapenzi ingekuwaje, si ningepanic mimi? All in all nashukuru Mungu atakachonipa kama kinaweza kugawanywa na kuwafikia wengine i will do it, sijakata tamaa.
Ticha tafadhari baomba uni pm number ya huyu bint nimuunganishe na shirika la kusaidia watoto wa hali hiyo, naona wewe msaada wako umeishia hapo uko kwenye masikitiko sie msaada wetu haina mwisho
 
Ww ulvyomsaidia ulitakiwa umpelekee moto[emoji23]ona sas kabinti kamekuwa tomboe
 
Ukiwa hapa duniani umetimiza wajibu wako.

Hongera sana.
 
ni familia ya kimaskini sanaaa , huyo bibi aliyekuwa anamlea anasema since amemaliza chuo naye hajawahi pigiwa simu na huyo binti,

mpigie mwalimu wa taluma wa shule yoyote ili akueleze mchakato upoje mwanafunzi akifaulu ili achuguliwe combi flan na shule flan
Hajikubali huyo
 
Naandika hili hapa kwa moyo mkujufu, sina kinyongo na wala sijutii ila namhurumia sana.

Mwaka 2015 ilikuwa ni first appoitment yangu as mwalimu, nilimkuta huyu binti akiwa kidato cha tatu, baada ya miezi mitatu niligundua ni mtoto mwenye uwezo wa juu darasani.

Baadae nikaja kufahamu kama ni mtoto wa mazingira magumu, baba yake alifariki na mama yake yupo anaishi mazingira magumu sana na yupo Tabora kwao. So kwa kuzingatia uwezo wake na kukutana na bibi yake niliamua kumsaidia suala la shule as mdogo wangu na itabaki kuwa hivyo milele, i rate her as my young sister.

Mungu si Athuman form four alifaulu vizuri, nilifanya mchakato wa kumfanya achuguliwe shule za jirani na combination iwe PCB, nashukuru alichaguliwa shule na comb. hiyo, so nikawa namhudumia kama mdogo wangu na nilimshukuru Mungu kuwa umenipatia mtu ambaye ananipa experience ya kusomesha.

Na hata form six alifaulu bahati mbaya hakuchagulia course za afya, so ilibidi nikae nae tutafte course ambayo itampa ajira na akikosa ajira iwe rahisi kujishikiza, na ikawa hivyo.

Alichaguliwa chuo na akapata course ambayo tulitarget, alipokuwa chuo niliendelea kutake care asilimia zinaboki za bodi ya mikopo na kumpatia fedha za matumizi kama mtoto wa kike tena mwanachuo (nilifanya hivyo kwa moyo mkujufu as namsaidia mdogo wangu).

Alipokuwa chuo mwaka wa mwisho kabla ya semister ya pili alikuja rafiki yangu na kuniambia amekutana na mdogo wangu huyo na binti mmoja msagaji, tena kamuliza yule msagaji na msagaji kakili kuwa yule binti ni msagaji na ukizingatia ni tom boy ilinichanganya sana.

Sikuona shida nilimpigia kumuliza hilo na kweli kuwa hayupo chuo yupo mtaani, akajibu kuwa ni kweli yupo mtaani kuna likizo fupi na yeye sio msagaji wanamsema vibaya kwa sababu ya muenekano wake wa u Tom boy (nakumbuka hiyo simu ilikuwa ya mwisho kuonanana naye wala kuwasiliana, kila nikipiga simu hapokei na akipokea haongei.

Kinachoniuma ni pale nilipopiga hesabu kuwa amemaliza chuo na sasa yupo mtaani (hata kunijulisha nimemaliza chuo hakufanya hivyo, I said ni utoto unamsumbua), badaye niliamua kumtaftia kazi baada ya kumpigia na kuona hapokei niliamua kutuma sms hakujibu, na kila nikimuona yupo mtandaoni na anarusha video zake akicheza music.

Namhurumia kwa sababu sioni future kwa anachokifanya ila ndio hivyo sina njisi ya kukaa naye, najiwazia sasa kama ningesomesha mwanamke kwa hoja ya mapenzi ingekuwaje, si ningepanic mimi? All in all nashukuru Mungu atakachonipa kama kinaweza kugawanywa na kuwafikia wengine i will do it, sijakata tamaa.
Hongera kwa msaada
Atakuja siku kwako.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
nimtamani ili nini kitokee , kwani nikifanya naye ngono ntarudisha pesa zangu , hivi kweli zile pesa ntakuwa nimezipata kama sina pesa sina wala siwazi mabaya juu yake , ila namhurumia sababu siku zote natamani kuona mtu wa mazingira magumu anatoka kwenye maisha magumu n kuishi maisha ya kawaida ni hicho kinanisumbua na sioni kama kuwa dancer ni njia sahihi ya kujitoa huko kwenye maisha magumu, nimekulia na kuishi katika familia ambayo nimeona kundi la watu wengi ndugu na wasio ndugu walivyokuwa wanaasidiwa na marehemu baba yangu,, wengine tupo karibu nao hadi sasa , nimefaidika na network y mzee several times

Muache atapata madanga wenye pesa hayupo njia mbaya sana ndo maisha mzee haya maisha inapaswa kua na roho mbaya tu
 
Hivi uwongo unawasaidia nini, nani anawalipa? Peleka haya mauwongo yako kwenye majukwaa ya kipuuzi. Mara nilifanya mchakato wa kumfanya achaguliwe shule za jirani.

Hapo yu ni uwongo, we ulikuwepo wakati wizara inawapngia shule za kwenda A level? Yote umeandika hayana mantiki, upoyoyo tu.
Wewe ndio huyo dogo nn
 
Mzee baba kuna watu wengine wamenata kwenye wimbi la matatizo na maisha magumu sio kwamba Mwenyezi Mungu hawaoni hapana anawafundisha kitu.

Wewe na kihelehele chako unajofanya Mungu [emoji23][emoji23][emoji23] lazima kikukute kitu...unabahati limekukuta dogo ...ilitakiwa upewe kesi ya kutembea na mwanafunzi alafu huyo unae sema unamsaidia ndio ashuhudie kuwa kweli unamtongozaga ukumuita kwako kuchukua ada
 
Hongera kwa kumsaidia, Ila muache apambane na maisha ameishakuwa mtu mzima Kama hapokei simu zako Basi haoni umuhimu siku akiona umuhimu wako atakutafuta.
 
Wewe sema huyo DEMU wako.

Hakuna demu mjinga asomeshwe akatishe mawasiliano ya ghafla hivyo.

Wewe jamaa tuambie ukweli
 
Back
Top Bottom