Hasaidiki huyuInaonekana hajui nini kifuate. Ni wa kumpa darasa uyu
Hapo rudisha soksi tu ..!!Wakuu,
Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia
Akanitajia majina yake tulivyowasilina
Nikamwambia ninahisiana naye akawa mkali nikampotezea.
Leo kanicheki kaniita dukani kwake nikaenda kaanza kuniambia alinidanganya majina yake then akanipa zawadi ya 3 pair of soksi za mazoezi hapo nifanyeje?
Sasa hilo ni swali?Wakuu,

Ukasaidie uokozi, hauna faidaπWakuu,