Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

Lipia king'amuzi Cha Azam miezi miwili upate king'amuzi kipya ........😃
 
Kodi....imeisha....au mtaji unayumba
....kuwa makini
 
Ju
Mello tunaomba utuweke dubwana la Akili mnemba(AI) 🤣 liwe nyuzi kama hizi mtu akiziweka ndani ya sekunde 5 zimeshafutwa na ban ya miezi 6 juu Automatically 🤣🤣🤣
KUTUJAZIA SERVER BURE SHENZI(In leonardo's voice)🤣 🤣🤣
kwa husika lakini
 
Wakuu,

Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia

Akanitajia majina yake tulivyowasilina
Nikamwambia ninahisiana naye akawa mkali nikampotezea.

Leo kanicheki kaniita dukani kwake nikaenda kaanza kuniambia alinidanganya majina yake then akanipa zawadi ya 3 pair of soksi za mazoezi hapo nifanyeje?
Hapo rudisha soksi tu ..!!
 
Sasa hilo ni swali?
 
Ukasaidie uokozi, hauna faida😂
 
Hivi wewe una akili kweli? Kwanini unachukua namba za demu alafu bila hata kuchukua muda kumjua hata kwa kufeki unakimbilia kusema "nina hisia nawe."

Aisee.
 
Back
Top Bottom