Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba
1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake...najua mnapatapata kwenye maeneo yenu..msivimbiwe
2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua
3. Danadana za katiba mpya
4. Naibu waziri na ajali yenye utata
5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS
But kwa elimu ya Samia, anaweza kufikiri kuwa hili baya hili zuri, ushauri huu hapana.Ulishawahi ona wapi msaidizi anashikilia nafasi ya mtaalam wakati hajajifunza mafunzo ya kitaalam.
It doesn't work that way in a democratic and law-abiding society, it doesn't work that way in a civilized world!Unaunda sheria kulinda wanaofanya jinai ili wapambane na jinai kwa waliovunja sheria
huyu ndiyo kiongozi mbovu kuwahi kutokea Tz tangu uhuru aseeHaya yananifaya imani yangu kwake iwe haba
1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake...najua mnapatapata kwenye maeneo yenu..msivimbiwe
2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua
3. Danadana za katiba mpya
4. Naibu waziri na ajali yenye utata
5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS
And I guess the whole problem stems from the fact that she vying for the next presidency within CCM and hence a ticket to the national level
Asee ni aibu tupu kuwa na kiongozi mkuu wa aina hiiUwezo wa maza ni mdogo sana
Mimi mpaka sasa nimeamini ninauwezo mdogo sana wa kufahamu watu.It doesn't work that way in a democratic and law-abiding society, it doesn't work that way in a civilized world!
Ulikuwa unasubiria kupanda meli ukiwa dodomaHaya yananifaya imani yangu kwake iwe haba
1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake...najua mnapatapata kwenye maeneo yenu..msivimbiwe
2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua
3. Danadana za katiba mpya
4. Naibu waziri na ajali yenye utata
5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS
And I guess the whole problem stems from the fact that she vying for the next presidency within CCM and hence a ticket to the national level
Tusiojua tunaelewa funguo ya haya yote inatokea wapiHaya yananifaya imani yangu kwake iwe haba
1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake...najua mnapatapata kwenye maeneo yenu..msivimbiwe
2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua
3. Danadana za katiba mpya
4. Naibu waziri na ajali yenye utata
5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS
And I guess the whole problem stems from the fact that she vying for the next presidency within CCM and hence a ticket to the national level
huyu ndiyo kiongozi mbovu kuwahi kutokea Tz tangu uhuru asee
Kama wewe humuelewi Mama unamatatizo makubwa ya afya ya akili,
Tuache kuokoteza visa vya kuungaunga visivyo na mashiko.
Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kila kukicha anafanya mambo mazuri na makubwa sana kwa taifa letu....
#DKT SAMIA-ANAJALI-NA-KUTHAMINI-JAMII[emoji307]
Muulize mama yako kama Nina tatizo la afya ya akiliKama wewe humuelewi Mama unamatatizo makubwa ya afya ya akili,