J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 2, 2023 #21 Buhare said: Walamba asali wanakwambia mama anaupiga mwingi. Sasa hivi habari ya mjini ni kugawa mamilion kwa Watani wa jadi ndiko anajificha huko akidhani ndo wapiga kura wake Click to expand... Yanga ndio Wananchi
Buhare said: Walamba asali wanakwambia mama anaupiga mwingi. Sasa hivi habari ya mjini ni kugawa mamilion kwa Watani wa jadi ndiko anajificha huko akidhani ndo wapiga kura wake Click to expand... Yanga ndio Wananchi
Mrs Thabo Bester JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 3,145 Reaction score 7,921 Jun 2, 2023 #22 Amos David Mathias said: Ulishawahi ona wapi msaidizi anashikilia nafasi ya mtaalam wakati hajajifunza mafunzo ya kitaalam. Click to expand... Nani alikua mtaalam hapo
Amos David Mathias said: Ulishawahi ona wapi msaidizi anashikilia nafasi ya mtaalam wakati hajajifunza mafunzo ya kitaalam. Click to expand... Nani alikua mtaalam hapo
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,321 Reaction score 7,501 Jun 2, 2023 #23 Hiyo number 5.... Sijaelewa KBSA , Taarfa zaid naomba