Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

Ni ujinga mtupu, umeruka matope umekanyaga mavi! Badala ya kutatua tatizo umeliongeza. Ukiona mke au mwanamke wako anaamua kulala na mwanaume mwingine, tena zaidi ya mara moja na una ushahidi, ukamwambia na bado anaendelea, busara inatuambia JIWEKE PEMBENI
 
Dah, yani hii ni kama umenunua ugomvi kwa bei ya jumla. hii comeback ya kibabe sanaa asee
 
sawa,lakini umetumia gharama kubwa sana kumbuka watoto wote utawalea ww mwenyewe kwa gharama zako...ulipaswa umpige chini mkeo kwa sabb wanao tyr ni wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…