Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
We kijana acha ujinga wa kuharibu kizazi chako pamoja JAMII yetu, JINGA WE!!
Afu inaonekana we na mke wako wote MAKAHABA!!
Afu inaonekana we na mke wako wote MAKAHABA!!
naweka hela yangu, namba 1 na namba 6 hawawezi kufa kamwe, ila wanapossibility za kuua. bet placed1. Mama mtu mzima
2. Binti
3. Mchumba
4. Kijana mdokozi
5. Wewe mlalaji
6. Mke anayenukia mafuta ya kondom
Na place bet yangu "lazima mmoja afe"
Seasoned by each season…🙃😁 mhhhhh🤷🏿♂️Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.
Once we cross that line, there is no stopping.
We get seasoned with each session.
And it gets more exciting. Tf.
Ambao ni nani na naniWake wenza
Wewe na wenzio kadhaa ila msipigane makonde tuAmbao ni nani na nani
Hahaa. Dah.Wewe na wenzio kadhaa ila msipigane makonde tu
Ndomaana mkitusaliti ni kuwatimua tu hakuna msamaha.Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.
Once we cross that line, there is no stopping.
We get seasoned with each session.
And it gets more exciting. Tf.
Wewe itakuwa yalikukumba si bureUsiwapangie watu na familia zao wewe panga familia yako ndio maana kila mtu ana kichwa chake hawezi kutembea na kichwa chako
Mwanzo aliyeliwa ni mke wa jamaa, je inamuathiri vipi jamaa?Kama nimeelewa vizuri aliyeliwa ni mama na dada na dem wa kijana. Sasa ina muathiri vipi mke wake?
Aseme mwenyeweMwanzo aliyeliwa ni mke wa jamaa, je inamuathiri vipi jamaa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hapa hakuna mwenye afadhali1. Mama mtu mzima
2. Binti
3. Mchumba
4. Kijana mdokozi
5. Wewe mlalaji
6. Mke anayenukia mafuta ya kondom
Na place bet yangu "lazima mmoja afe"
Upumbavu mwingine bana. Unajiongezea shida halafu unasema nimewakomesha. K nani alikudanganya inakomeshwa. Jinga snaMi ni Mwanaume mwenye umri wa kati wa 4th floor.
Katika kupambana na maisha miaka ya nyuma, niliishi mkoa mmoja kanda ya ziwa. Kutokana na mihangaiko, nikajikuta nimempa mimba binti mmoja ambaye kimsingi sikuwa na mpango wa kumuoa kwani nilikuwa na mchumba wangu mwenye mashauzi wa Kimeru.
Kutokana na mila zetu, ilinipasa nimuoe huyo mwanamke na sasa tuna watoto watatu wakubwa tu.
Kutokana na kazi zangu za kuwa nasafiri sana, nikahisi mke wangu kutembea na kijana mmoja wa jirani hapa ninapoishi. Mwaka 2022, nikathibitisha rasmi kuwa huyu Mwanamke anatembea na huyo kijana.
Siku hiyo kulikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mtoto wangu mmoja. Mi kutokana na ratiba ya kazi, niliondoka asubuhi na jamaa zangu na kwenda site kwenye mahangaiko. Asubuhi wakati wa kuondoka, sikuwa nimemsaidia wife kuchinja kuku kwani nyumbani watoto wakubwa wa kiume wapo Sekondari. Hakuwa na mtu wa kumchinjia.
Mchana ananipiga simu kwa namba ya Kijana kuwa huyo kijana amemsaidia kuchinja kuku. Nikasema sawa na tukawa tunaendelea na kazi. Narudi jioni nasikia harufu ya mafuta ya condom ndani kwangu na mke wangu ananuka mafuta ya kondomu. Nikanyamaza na kuendelea kutafuta ushahidi zaidi.
Kutokana na kazi zangu za kusafiri mara kwa mara nje ya mkoa na muda mwingine kwenda site na kulala huko. Kuna kipindi nilikuwa nikirudi nyumbani kwa kushtukiza au nikiagiza mtu apeleke kitu nyumbani simkuti wala wao naowaagiza hawamkuti nyumbani kwani nyumbani huwa anabaki mwenyewe na mtoto mdogo wa mwisho anasoma Primary so huwa aondoka asubuhi na kurudi saa 9. Akawa ananizarau, kiburi na kwenye tendo ananipa kwa masharti na muda mwingine anasingizia uchovu au ugonjwa.
Wao wakajisahau na kuwa huru zaidi. Nikaanza kupata habari kwa rafiki za huyo kijana kwani alikuwa anawaadithia wenzake.
Nikamuita wife na kumueleza kuwa aache hilo jambo kwani ananifedhehesha. Kijana pia nikamuuliza kwa nia njema kuwa aache mahusiano na mke wangu.
Nikawaacha nikawa naendelea na masuala yangu, mwaka 2024 walipoona siwafuatilii wakawa wanaendelea. Nikaambiwa tena. Nikamfuata dogo na kumueleza kuwa najua unaendelea na mahusiano na mke wangu ila kwa ajili ya wanangu sitakudhuru wala kumdhuru yule mwanamke wala sitamuacha ila nitakachokufanya hutasahau.
Nilimueleza na mke wangu kuwa naelewa unaendelea na mahusiano na yule kijana ila kwa ajili ya watoto wetu, sitakuacha wala sitakudhuru we ni mtu mzima. Nikanyamaza.
Nikaanza harakati za kufanya comeback. Huyo kijana namfahamu Mama na dada yake pia nilikuwa namfahamu mchumba wake. Nikaanza kumlaghai na kumlala mama yake mzazi. Nimetembea sana na yule Mama yake. Nikamtafutia sababu na nikaachana naye.
Mwaka 2024 Yule Mama alikuwa na mtoto wa kike binti aliyekuwa anauza duka la nguo la mama yake, Nikamlaghai na kuanza kumlala na huyo binti. Yeye ndio nilikuwa nasafiri naye kabisa au kumpa nauli atangulie ninapoenda safari au kazi za site. Huyu akapata Mimba na mwaka jana akajifungua mtoto amefanana na mimi ile Mbaya. Wife alikwenda na kumuona yule mtoto akawa ananiambia ni wangu, nikabisha. Likaisha.
Nikawa na kesi yule Mama ananilaumu kwanini nimetembea na Mama na mtoto kwani huyo mama ni single mama mme wake alishafarikigi. Nikalimaliza kiutu uzima.
Wakati natembea na huyo binti, nikawa napambana kupita na mchumba wa yule kijana kwani anakaa mbali na hiyo familia. Bado anaishi kwao. Nikafanikiwa kumlaghai kwa Pesa naye nikawa namlala na mwezi wa tatu mwaka huu, amejifungua mtoto wangu na wife kasikia hilo jana.
Sasa anajiliza na hata kanisani hakwenda. Leo Pasaka ni chungu kwake. Nimemueleza, chagua wewe kubaki au kuondoka na nimemwambia ukweli hao watoto wote ni wangu. Aamue yeye aondoke akaolewe na huyo kijana au abaki kulea watoto wake tuliozaa. Nasubiri kikao cha kanisa na cha ndugu ili niweke wazi kuwa hao ni wanangu na kwanini nimefanya hivyo.
Nyie wanawake mkibahatika kupata mwanaume anayekupenda , kukuheshimu na kukuweka ndani uwe mke halali jitahidini kumheshimu na msiwafanye watu wajinga. Sikuwahi kufikiria kuzaa nje ila yeye ndio kanisababishia haya.
Kijana anaugulia maumivu tu kwa sasa. Watajua wenyewe. Siwafuatilii sasa, napambana kulea familia yangu iliyoongezwa sasa.
Pumbavu kabisa. What a comeback kama ya Chelsea dhidi ya Barcelona game ya 2005.
View attachment 3567887
Ulitaka nikulawiti wewe? Sutumii mavi pia acha shobo na ujuaji wa kwenye maisha ya mtu.Upumbavu mwingine bana. Unajiongezea shida halafu unasema nimewakomesha. K nani alikudanganya inakomeshwa. Jinga sna
Nilishawahi kukuomba msaada wa kunisaidia kwenye lolote? Acha shobo na maisha ya watu dogo.Sasa hapo umemkomoa nini zaidi ya kujiongezea mizigo ya majukumu?
Acha kushobokea maisha ya watu wengine. Msijifanye washauri kwenye maisha ya watu. Sijawaita mnishauri hapa.Wewe itakuwa yalikukumba si bure