ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
MtaaniMnapataga wap wanawake wa hivi mkuuta
MtaaniMnapataga wap wanawake wa hivi mkuuta
ni swala la pesa hilo yeys anapesa hilo sio shida mzeeNaona umeongeza majukumu na matatizo badala ya kuondoa tatizo.
Inawezekana bi mkubwa yuko menopause kumbuka mshikaji yeye anasema yuko floo ya 4.Ulawiti kifungo Cha maisha jela.
Unampotosha.
Mimi namlaumu kwanini hakumtia mimba mama wa huyo dogo.
Who give a f? Unamlipia wewe gharama? Shut UPNaona umeongeza majukumu na matatizo badala ya kuondoa tatizo.
Piga panapouma zaidiHii siyo habari ya kweli japo revenge za aina hii hutokea. Kila nikisoma mtiririko wa habari nahisi jamaa katunga. BTW Nimeona watu wanachukuwa marafiki wa wake zao kulipa kisasi kwa wake. Au ndugu wa wake...
Alichosahau ni kitu kimoja tu, naomba uniulize kasahau nini nitakwambia amemsahau Mama na Dada za huyo kijanahii unaweza ukafurahi ila nakuhakikishia vijana wa Gen Z comeback zao ni za kishetani jihadhali mkuu usije ukauwawa
Good kwa kimombo tunawaita snitchSijaisoma yote ila kosa lako kubwa ni kumsamehe msaliti,
Msaliti hua hasamehewi hata siku moja.
Utomvu hua hauchagui pa kudondokeaThe biggest coward is a man who awakens a woman's love without the intention of loving her.
Alishafanya hayo yote kabla ndio maana akafanya alichofanyaWhen you seek revenge, dig two graves.
I kinda like what you did but I'd rather you'd just walked away remarried and started afresh.
In this case you have 2 more mouths to feed to take care of. And no way you are going to deny your kids right?
Damu yako hiyo Mzee.
So sijui kama kuna uliyemkomoa as such unless umpe hao watoto awalee uwiii.
Tayari imenasa kwenye mtego ikajielezea kila kitu na huu mtego umetegukaSisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.
Once we cross that line, there is no stopping.
We get seasoned with each session.
And it gets more exciting. Tf.
Bantu LadySisi wanawake sio victims.
Shadeeya I started to show you my listSisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.
Once we cross that line, there is no stopping.
We get seasoned with each session.
And it gets more exciting. Tf.
Usiwapangie watu na familia zao wewe panga familia yako ndio maana kila mtu ana kichwa chake hawezi kutembea na kichwa chakoUmefanya ujinga sana.Mwanaume anaejielewa halipizi umalaya wa mke wake kwa umalaya.Hata kama kuachana na mke ni ngumu kama mna watoto ila ili upone maumivu ya kusalitiwa kwa ushahidi dawa yake ni kuachana. Mke wako akibaki halafu ukaja tena kusikia unasalitiwa hatua inayofuata unakaribia kumchoma na mkaa.
Hii similizi inafaa kua copied na kufanyiwa utendaji kwa watu wasiopenda kurupushaniUmemuachia alama kubwa sana inafaa kuigwa
Naunga mkono hoja yako ila sikuungi mkono unapomuuliza mtu mwingine maana yake una akili za kushikiwa be youNdio maana hua nawaambia vijana humu kila siku,
Msaliti hua hasamehewi hata siku moja
Seran Unakumbuka siku ile uliniambia kua msaliti anaweza kubadilika,so asamehewe?
Gen z hawana comeback ya kuua mtu, niwajinga tuhii unaweza ukafurahi ila nakuhakikishia vijana wa Gen Z comeback zao ni za kishetani jihadhali mkuu usije ukauwawa