Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Kama nimeelewa vizuri aliyeliwa ni mama na dada na dem wa kijana. Sasa ina muathiri vipi mke wake?Hahaha na yeye kala mama yake na dada yake hapo vipi?

Kachakaza nyeti zake mwenyewe, kaongeza uzao wake mwenyewe.Ametoa FUNZO.
Mara ya kwanza
Mara ya pili
Mara ya tatu
Oya
Mi ni Mwanaume mwenye umri wa kati wa 4th floor.
Katika kupambana na maisha miaka ya nyuma, niliishi mkoa mmoja kanda ya ziwa. Kutokana na mihangaiko, nikajikuta nimempa mimba binti mmoja ambaye kimsingi sikuwa na mpango wa kumuoa kwani nilikuwa na mchumba wangu mwenye mashauzi wa Kimeru.
Kutokana na mila zetu, ilinipasa nimuoe huyo mwanamke na sasa tuna watoto watatu wakubwa tu.
Kutokana na kazi zangu za kuwa nasafiri sana, nikahisi mke wangu kutembea na kijana mmoja wa jirani hapa ninapoishi. Mwaka 2022, nikathibitisha rasmi kuwa huyu Mwanamke anatembea na huyo kijana.
Siku hiyo kulikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mtoto wangu mmoja. Mi kutokana na ratiba ya kazi, niliondoka asubuhi na jamaa zangu na kwenda site kwenye mahangaiko. Asubuhi wakati wa kuondoka, sikuwa nimemsaidia wife kuchinja kuku kwani nyumbani watoto wakubwa wa kiume wapo Sekondari. Hakuwa na mtu wa kumchinjia.
Mchana ananipiga simu kwa namba ya Kijana kuwa huyo kijana amemsaidia kuchinja kuku. Nikasema sawa na tukawa tunaendelea na kazi. Narudi jioni nasikia harufu ya mafuta ya condom ndani kwangu na mke wangu ananuka mafuta ya kondomu. Nikanyamaza na kuendelea kutafuta ushahidi zaidi.
Kutokana na kazi zangu za kusafiri mara kwa mara nje ya mkoa na muda mwingine kwenda site na kulala huko. Kuna kipindi nilikuwa nikirudi nyumbani kwa kushtukiza au nikiagiza mtu apeleke kitu nyumbani simkuti wala wao naowaagiza hawamkuti nyumbani kwani nyumbani huwa anabaki mwenyewe na mtoto mdogo wa mwisho anasoma Primary so huwa aondoka asubuhi na kurudi saa 9. Akawa ananizarau, kiburi na kwenye tendo ananipa kwa masharti na muda mwingine anasingizia uchovu au ugonjwa.
Wao wakajisahau na kuwa huru zaidi. Nikaanza kupata habari kwa rafiki za huyo kijana kwani alikuwa anawaadithia wenzake.
Nikamuita wife na kumueleza kuwa aache hilo jambo kwani ananifedhehesha. Kijana pia nikamuuliza kwa nia njema kuwa aache mahusiano na mke wangu.
Nikawaacha nikawa naendelea na masuala yangu, mwaka 2024 walipoona siwafuatilii wakawa wanaendelea. Nikaambiwa tena. Nikamfuata dogo na kumueleza kuwa najua unaendelea na mahusiano na mke wangu ila kwa ajili ya wanangu sitakudhuru wala kumdhuru yule mwanamke wala sitamuacha ila nitakachokufanya hutasahau.
Nilimueleza na mke wangu kuwa naelewa unaendelea na mahusiano na yule kijana ila kwa ajili ya watoto wetu, sitakuacha wala sitakudhuru we ni mtu mzima. Nikanyamaza.
Nikaanza harakati za kufanya comeback. Huyo kijana namfahamu Mama na dada yake pia nilikuwa namfahamu mchumba wake. Nikaanza kumlaghai na kumlala mama yake mzazi. Nimetembea sana na yule Mama yake. Nikamtafutia sababu na nikaachana naye.
Mwaka 2024 Yule Mama alikuwa na mtoto wa kike binti aliyekuwa anauza duka la nguo la mama yake, Nikamlaghai na kuanza kumlala na huyo binti. Yeye ndio nilikuwa nasafiri naye kabisa au kumpa nauli atangulie ninapoenda safari au kazi za site. Huyu akapata Mimba na mwaka jana akajifungua mtoto amefanana na mimi ile Mbaya. Wife alikwenda na kumuona yule mtoto akawa ananiambia ni wangu, nikabisha. Likaisha.
Nikawa na kesi yule Mama ananilaumu kwanini nimetembea na Mama na mtoto kwani huyo mama ni single mama mme wake alishafarikigi. Nikalimaliza kiutu uzima.
Wakati natembea na huyo binti, nikawa napambana kupita na mchumba wa yule kijana kwani anakaa mbali na hiyo familia. Bado anaishi kwao. Nikafanikiwa kumlaghai kwa Pesa naye nikawa namlala na mwezi wa tatu mwaka huu, amejifungua mtoto wangu na wife kasikia hilo jana.
Sasa anajiliza na hata kanisani hakwenda. Leo Pasaka ni chungu kwake. Nimemueleza, chagua wewe kubaki au kuondoka na nimemwambia ukweli hao watoto wote ni wangu. Aamue yeye aondoke akaolewe na huyo kijana au abaki kulea watoto wake tuliozaa. Nasubiri kikao cha kanisa na cha ndugu ili niweke wazi kuwa hao ni wanangu na kwanini nimefanya hivyo.
Nyie wanawake mkibahatika kupata mwanaume anayekupenda , kukuheshimu na kukuweka ndani uwe mke halali jitahidini kumheshimu na msiwafanye watu wajinga. Sikuwahi kufikiria kuzaa nje ila yeye ndio kanisababishia haya.
Kijana anaugulia maumivu tu kwa sasa. Watajua wenyewe. Siwafuatilii sasa, napambana kulea familia yangu iliyoongezwa sasa.
Pumbavu kabisa. What a comeback kama ya Chelsea dhidi ya Barcelona game ya 2005.
View attachment 3567887
Hapana ni mama na dada wa mkewe kisha akapita na demu wa kijana rudia kusoma vizuriKama nimeelewa vizuri aliyeliwa ni mama na dada na dem wa kijana. Sasa ina muathiri vipi mke wake?
WOTE waliohusika na wasiohusika mpaka waliojazwa Mimba na watoto waliozaliwa wamepata FUNZO.Kachakaza nyeti zake mwenyewe, kaongeza uzao wake mwenyewe.
Kajiomgezea majukumu yeye mwenyewe kwa hasira zake mwenyewe. Kamkomoa nani? Nani kapata funzo?
Kizazi alichokitengeneza kitakuja kumtesa sana. Trust me...WOTE waliohusika na wasiohusika mpaka waliojazwa Mimba na watoto waliozaliwa wamepata FUNZO.
Umeliona FUNZO alilotoa mpaka kwa kizazi chake na cha kwako kikipita kusoma humu kitajifunza kitu.Kizazi alichokitengeneza kitakuja kumtesa sana. Trust me...
That's good! Ukiwa na pesa haina haja yakuua mwanamke au hawala yake, ni umafia tuMi ni Mwanaume mwenye umri wa kati wa 4th floor.
Katika kupambana na maisha miaka ya nyuma, niliishi mkoa mmoja kanda ya ziwa. Kutokana na mihangaiko, nikajikuta nimempa mimba binti mmoja ambaye kimsingi sikuwa na mpango wa kumuoa kwani nilikuwa na mchumba wangu mwenye mashauzi wa Kimeru.
Kutokana na mila zetu, ilinipasa nimuoe huyo mwanamke na sasa tuna watoto watatu wakubwa tu.
Kutokana na kazi zangu za kuwa nasafiri sana, nikahisi mke wangu kutembea na kijana mmoja wa jirani hapa ninapoishi. Mwaka 2022, nikathibitisha rasmi kuwa huyu Mwanamke anatembea na huyo kijana.
Siku hiyo kulikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mtoto wangu mmoja. Mi kutokana na ratiba ya kazi, niliondoka asubuhi na jamaa zangu na kwenda site kwenye mahangaiko. Asubuhi wakati wa kuondoka, sikuwa nimemsaidia wife kuchinja kuku kwani nyumbani watoto wakubwa wa kiume wapo Sekondari. Hakuwa na mtu wa kumchinjia.
Mchana ananipiga simu kwa namba ya Kijana kuwa huyo kijana amemsaidia kuchinja kuku. Nikasema sawa na tukawa tunaendelea na kazi. Narudi jioni nasikia harufu ya mafuta ya condom ndani kwangu na mke wangu ananuka mafuta ya kondomu. Nikanyamaza na kuendelea kutafuta ushahidi zaidi.
Kutokana na kazi zangu za kusafiri mara kwa mara nje ya mkoa na muda mwingine kwenda site na kulala huko. Kuna kipindi nilikuwa nikirudi nyumbani kwa kushtukiza au nikiagiza mtu apeleke kitu nyumbani simkuti wala wao naowaagiza hawamkuti nyumbani kwani nyumbani huwa anabaki mwenyewe na mtoto mdogo wa mwisho anasoma Primary so huwa aondoka asubuhi na kurudi saa 9. Akawa ananizarau, kiburi na kwenye tendo ananipa kwa masharti na muda mwingine anasingizia uchovu au ugonjwa.
Wao wakajisahau na kuwa huru zaidi. Nikaanza kupata habari kwa rafiki za huyo kijana kwani alikuwa anawaadithia wenzake.
Nikamuita wife na kumueleza kuwa aache hilo jambo kwani ananifedhehesha. Kijana pia nikamuuliza kwa nia njema kuwa aache mahusiano na mke wangu.
Nikawaacha nikawa naendelea na masuala yangu, mwaka 2024 walipoona siwafuatilii wakawa wanaendelea. Nikaambiwa tena. Nikamfuata dogo na kumueleza kuwa najua unaendelea na mahusiano na mke wangu ila kwa ajili ya wanangu sitakudhuru wala kumdhuru yule mwanamke wala sitamuacha ila nitakachokufanya hutasahau.
Nilimueleza na mke wangu kuwa naelewa unaendelea na mahusiano na yule kijana ila kwa ajili ya watoto wetu, sitakuacha wala sitakudhuru we ni mtu mzima. Nikanyamaza.
Nikaanza harakati za kufanya comeback. Huyo kijana namfahamu Mama na dada yake pia nilikuwa namfahamu mchumba wake. Nikaanza kumlaghai na kumlala mama yake mzazi. Nimetembea sana na yule Mama yake. Nikamtafutia sababu na nikaachana naye.
Mwaka 2024 Yule Mama alikuwa na mtoto wa kike binti aliyekuwa anauza duka la nguo la mama yake, Nikamlaghai na kuanza kumlala na huyo binti. Yeye ndio nilikuwa nasafiri naye kabisa au kumpa nauli atangulie ninapoenda safari au kazi za site. Huyu akapata Mimba na mwaka jana akajifungua mtoto amefanana na mimi ile Mbaya. Wife alikwenda na kumuona yule mtoto akawa ananiambia ni wangu, nikabisha. Likaisha.
Nikawa na kesi yule Mama ananilaumu kwanini nimetembea na Mama na mtoto kwani huyo mama ni single mama mme wake alishafarikigi. Nikalimaliza kiutu uzima.
Wakati natembea na huyo binti, nikawa napambana kupita na mchumba wa yule kijana kwani anakaa mbali na hiyo familia. Bado anaishi kwao. Nikafanikiwa kumlaghai kwa Pesa naye nikawa namlala na mwezi wa tatu mwaka huu, amejifungua mtoto wangu na wife kasikia hilo jana.
Sasa anajiliza na hata kanisani hakwenda. Leo Pasaka ni chungu kwake. Nimemueleza, chagua wewe kubaki au kuondoka na nimemwambia ukweli hao watoto wote ni wangu. Aamue yeye aondoke akaolewe na huyo kijana au abaki kulea watoto wake tuliozaa. Nasubiri kikao cha kanisa na cha ndugu ili niweke wazi kuwa hao ni wanangu na kwanini nimefanya hivyo.
Nyie wanawake mkibahatika kupata mwanaume anayekupenda , kukuheshimu na kukuweka ndani uwe mke halali jitahidini kumheshimu na msiwafanye watu wajinga. Sikuwahi kufikiria kuzaa nje ila yeye ndio kanisababishia haya.
Kijana anaugulia maumivu tu kwa sasa. Watajua wenyewe. Siwafuatilii sasa, napambana kulea familia yangu iliyoongezwa sasa.
Pumbavu kabisa. What a comeback kama ya Chelsea dhidi ya Barcelona game ya 2005.
View attachment 3567887
Hakuna funzo lolote hapo. Watu wake kwa waume watendelea kuchepuka na kulana kama kawa na hakuna kitu mtawafanya.Umeliona FUNZO alilotoa mpaka kwa kizazi chake na cha kwako kikipita kusoma humu kitajifunza kitu.
Wanawake wote hawa kwanini niteseke na mmoja.. Nyeto tuwaachie watoto mkuu.. Sahz nyeto mtu mzma piga mara moja kwa wiki tuNyinyi ndio mnaendaga kutafuta Maghorofa marefu na kujiangusha CHINI kwa ujinga wenu. Utamu unao mwenyewe kwanini uteseke?
Hahahaaaa unanifanisha na tani ya mafuta mkuu??Wewe ni kiazi utakua huna tofauti na aliesema mafuta lita 1 ni 16,000,000
Na ukiipata lazma ung'ate shukaSumu ya Panya sio binadamu
Vipi wewe ndo unakua yule mtoto ambae mjomba ake pia ni baba yake wa kambo, mama yake mzazi pia ni dada ake na ni mdogo wa mjomba ake, na bibi yake pia ni mama yake mkubwa na ni mkwe wa mama ake wa kambo.Wewe ni kiazi utakua huna tofauti na aliesema mafuta lita 1 ni 16,000,000
Ukigongewa na wewe tafuta mnyonge wako mgongee..haipunguzi maumivu ila inaongeza hadhi ya kiume..Nimekumbuka ule wimbo wa MwanaFa..
Ushaelewa.Vipi wewe ndo unakua yule mtoto ambae mjomba ake pia ni baba yake wa kambo, mama yake mzazi pia ni dada ake na ni mdogo wa mjomba ake, na bibi yake pia ni mama yake mkubwa na ni mkwe wa mama ake wa kambo.
Bado sijalewa mkuu. Ndo kwanza nimeamkaUshaelewa.
Shadeeya mwingine huyuSema hawa wanaoitwa wanaume wa siku hizi ni wajingawajinga! ! !
Hakuna funzo lolote hapa. Ujingaujinga tu.
The worst part is the number of people thinking there's wisdom in this foolishness! ! !
What a pathetic generation!
##Jesusiscoming
Ina odds ngapi nitie mzigo1. Mama mtu mzima
2. Binti
3. Mchumba
4. Kijana mdokozi
5. Wewe mlalaji
6. Mke anayenukia mafuta ya kondom
Na place bet yangu "lazima mmoja afe"