Aisee,Kaamua kumuadhibu mbaya wake kisaikolojia, ambayo ndio adhabu mbaya zaidi itamuumiza moyo siku akiujua ukweli.
Dahh, usaliti mwingine unasababishwa na mwanaume mwenyewe! Kama unafanya vitu effectively kwanini usalitiwe?Ndio maana hua nawaambia vijana humu kila siku,
Msaliti hua hasamehewi hata siku moja
Seran Unakumbuka siku ile uliniambia kua msaliti anaweza kubadilika,so asamehewe?
Hahaa hata hivyo bado comeback hii imebakia kileleni. Nataman at7pe technics alianzaje anzaje had akamlaza maza kibra, na alipitia vizingiti vipi na kuvipangua.Umefeli sehemu moja tu, na mama wa huyo kijana ulipaswa umtie mimba kabisa ... comeback ya kibabe sana hii
Wangeshindia kahawa ndio ingekuwa vizuri au sio?Yaani Sikukuu kubwa hivi mmeshindia chai?
Hayo yako sister ila nijuacho nimepiga comeback. HajailaPasaka vizuri leo.Wewe na mkeo wote wa huni, tena afadhali mkeo.
eeeehNikaanza kumlaghai na kumlala mama yake mzazi.
Kama siyo chai mkuu hii nimekukubali ulivyopiga comeback ya kibabe! Ulishindwa kitu kimoja tu ungemzalisha na huyo mamake na huyo kijana! Sasa mkuu hebu tusaidiane huyo mkeo ulimpata akiwa singo maza au alikuwa msichana? Achilia mbali ya kuwa bikira! Sasa kama wewe ndiye wa kwanza kumzalisha halafu analalwa na kijana hatuoni kama singo maza wanasakamwa bure? Ila huyo mkeo naye ni kimeo kwa kweli!Kutokana na kazi zangu za kuwa nasafiri sana, nikahisi mke wangu kutembea na kijana mmoja wa jirani hapa ninapoishi. Mwaka 2022, nikathibitisha rasmi kuwa huyu Mwanamke anatembea na huyo kijana.
Kama hii story sio ya kutunga ndio kitachoenda kutokea tena kwa kushirikiana na mchepuko wa mkewe,mwanamke kama humuelewi Kaa nae mbali kama vita ya IranHuyo mwanamke atakuwekea sumu kuwa makini