Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

Ni kweli you don't cheat by accident, it's a well executed move, ila sasa look who you cheat with, hivi vivulana vidogo vinatudhalilisha sana!!

Each session is more exciting than the previous one😅
Yaani we cheat with the most weird characters. So pathetic.

Halafu once you catch feelings ndo unakamatwa.

Yes. Very addictive halafu kama una mashosti unawaona wajinga if they are not cheating.

That is why you need to know your woman's circle.
Ni kweli you don't cheat by accident, it's a well executed move, ila sasa look who you cheat with, hivi vivulana vidogo vinatudhalilisha sana!!

Each session is more exciting than the previous one😅
 
Aisee, anyway bora hajawadhuru, nampongeza jamaa ana moyo wa uvumilivu, kwani alivumilia machngu akisubiri muda wa kufanya comeback yake.

Kaamua kumuadhibu mbaya wake kisaikolojia, ambayo ndio adhabu mbaya zaidi itamuumiza moyo siku akiujua ukweli.
Adhabu wataipata hao watoto wawili wanje. Tena wakiujua ukweli ndo saikokojia zao zitalipuka. ULIZALIWA KWA KISASI CHA BABA YAKO KWA MKEWE
mwinginge ataambiwa BIBI YAKO NI MAMA AKO MKUBWA.
Rubbish. Mleta uzi ni mwehu, jamii hatuhitaji watu kama hawa. October 29 alikuepo wapi huyu???
 
Aisee, ameenda kusababisha maumivu mpaka kwa wasio husika, sidhani kama alifikiria yote haya kabla ya kuchukua maamuzi yake ya kulipa kisasi chake.
 
Maajabu haya.. unajiona mjanja kwa kujiongezea majukumu na matatizo.
Ngoja miaka ispgee kidogo ndo utagundua makosa uliyofanya maana unaweza ukasababisha watoto wasipendane.

Ungeishia kuwala tu bila kuzaa nao ingawa na yenyewe ni upuuzi.
 
Adhabu wataipata hao watoto wawili wanje. Tena wakiujua ukweli ndo saikokojia zao zitalipuka. ULIZALIWA KWA KISASI CHA BABA YAKO KWA MKEWE
mwinginge ataambiwa BIBI YAKO NI MAMA AKO MKUBWA.
Rubbish. Mleta uzi ni mwehu, jamii hatuhitaji watu kama hawa. October 29 alikuepo wapi huyu???
Hahahahahahaha
 
Hahahahaha. Nimecheka kama mazuri. Njoo nikuuzie madafu bosi.
 
Back
Top Bottom