G
guest-1787677877
Guest
- Thread starter
-
- #41
Hayo yako msomi ila nijuacho, nimefanya comeback hizo zingine ni mbwembwe zako tu dogo.Dysfunctional families
Anakozaliwa Dogo, anakozaliwa mkeo, wewe mwenyewe na Huyo Mama mtu mzima yaani hovyo Mwanzo mwisho
Hayo yako msomi ila nijuacho, nimefanya comeback hizo zingine ni mbwembwe zako tu dogo
Yaani we cheat with the most weird characters. So pathetic.Ni kweli you don't cheat by accident, it's a well executed move, ila sasa look who you cheat with, hivi vivulana vidogo vinatudhalilisha sana!!
Each session is more exciting than the previous one😅
Ni kweli you don't cheat by accident, it's a well executed move, ila sasa look who you cheat with, hivi vivulana vidogo vinatudhalilisha sana!!
Each session is more exciting than the previous one😅
Hela yangu ipo kwa namba 5.. Huyu hatoboi mwaka huu1. Mama mtu mzima
2. Binti
3. Mchumba
4. Kijana mdokozi
5. Wewe mlalaji
6. Mke anayenukia mafuta ya kondom
Na place bet yangu "lazima mmoja afe"
Adhabu wataipata hao watoto wawili wanje. Tena wakiujua ukweli ndo saikokojia zao zitalipuka. ULIZALIWA KWA KISASI CHA BABA YAKO KWA MKEWEAisee, anyway bora hajawadhuru, nampongeza jamaa ana moyo wa uvumilivu, kwani alivumilia machngu akisubiri muda wa kufanya comeback yake.
Kaamua kumuadhibu mbaya wake kisaikolojia, ambayo ndio adhabu mbaya zaidi itamuumiza moyo siku akiujua ukweli.
Aisee, ameenda kusababisha maumivu mpaka kwa wasio husika, sidhani kama alifikiria yote haya kabla ya kuchukua maamuzi yake ya kulipa kisasi chake.Adhabu wataipata hao watoto wawili wanje. Tena wakiujua ukweli ndo saikokojia zao zitalipuka. ULIZALIWA KWA KISASI CHA BABA YAKO KWA MKEWE
mwinginge ataambiwa BIBI YAKO NI MAMA AKO MKUBWA.
Rubbish. Mleta uzi ni mwehu, jamii hatuhitaji watu kama hawa. October 29 alikuepo wapi huyu???
Vipi kama anajimuduNaona umeongeza majukumu na matatizo badala ya kuondoa tatizo
Daaah kwa hyo wanaweza fanya ya arsenal na southamptom jana?chashout ndugu yangu
hahaha umetisha chawa.1. Mama mtu mzima
2. Binti
3. Mchumba
4. Kijana mdokozi
5. Wewe mlalaji
6. Mke anayenukia mafuta ya kondom
Na place bet yangu "lazima mmoja afe"
Hata kwa kulogwaHela yangu ipo kwa namba 5.. Huyu hatoboi mwaka huu
Hana akili timamuyu huyu. Bora angewajeruhi wahusika tuAisee, ameenda kusababisha maumivu mpaka kwa wasio husika, sidhani kama alifikiria yote haya kabla ya kuchukua maamuzi yake ya kulipa kisasi chake.
Sio najiona Mjanja. Ni Mjanja. Hakuna cha kusababisha watoto wasipendane. Mi ndio Baba yao.Maajabu haya.. unajiona mjanja kwa kujiongezea majukumu na matatizo.
Ngoja miaka ispgee kidogo ndo utagundua makosa uliyofanya maana unaweza ukasababisha watoto wasipendane.
Ungeishia kuwala tu bila kuzaa nao ingawa na yenyewe ni upuuzi.
Hayo yako nifahamucho ni kimoja tu. Nimepiga comeback hayo mengine ni maelezo baada ya habari. Hayabadilishi wala hayatabadilisha lolote.Hana akili timamuyu huyu. Bora angewajeruhi wahusika tu
Hahahaaa.Hata kwa kulogwa
Yaani mtu anapga dabali dabali... Umchome mama, uchome binti yake, uchome mkwe wake halafu hapo mbaya zaidi wote wamejuana na aliyenusurika mimba ni mama tu..
Ningemshauri tu aandae wosia mzuri.
HahahahahahahaAdhabu wataipata hao watoto wawili wanje. Tena wakiujua ukweli ndo saikokojia zao zitalipuka. ULIZALIWA KWA KISASI CHA BABA YAKO KWA MKEWE
mwinginge ataambiwa BIBI YAKO NI MAMA AKO MKUBWA.
Rubbish. Mleta uzi ni mwehu, jamii hatuhitaji watu kama hawa. October 29 alikuepo wapi huyu???
Hahahahaha. Nimecheka kama mazuri. Njoo nikuuzie madafu bosi.Adhabu wataipata hao watoto wawili wanje. Tena wakiujua ukweli ndo saikokojia zao zitalipuka. ULIZALIWA KWA KISASI CHA BABA YAKO KWA MKEWE
mwinginge ataambiwa BIBI YAKO NI MAMA AKO MKUBWA.
Rubbish. Mleta uzi ni mwehu, jamii hatuhitaji watu kama hawa. October 29 alikuepo wapi huyu???