Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

Duh moto sana yani 1-1 sasa tusubir penalt,maana kuna mtu atangolewa jino.Ila Pole kaka
 
Ila sasa, huyo kijana ndio ameishakuwa ndugu yako. Maana atakuwa mjomba wa mtoto wako mmoja.
 
Unasemaje nyumbu...

Ebu tushauriane, hata kama ni wewe nyumbu na akili zako ndogo za kunywea maji ungefanyeje?
Mimi ni kupiga chini tu msaliti, mimi sio king'ang'a kama nyie Chawa, harufu za uvundo wa CCM chama mfu, mmechagua kuishi nazo. Msimamo wetu ni kupga chini na kuanza upya ukizingua. Ndo maana hta hicho chama cha mafisadi hatukitaki any more.
 
Mimi ni kupiga chini tu msaliti, mimi sio king'ang'a kama nyie Chawa, harufu za uvundo wa CCM chama mfu, mmechagua kuishi nao. Msimamo wetu ni kupga chini na kuanza upya ukizingua. Ndo maana hta hicho chama cha mafisadi hatukitaki any more.
Unaona akili za nyumbu sasa

We wakiamua kukupga chn kwa sababu ya usaliti utapgwa mara ngapi?
 
Na huto tu ntulantu twenye sura ya naniliu umevipiga pini usawa ule ule, ni vya nini hapo?
 
Unaona akili za nyumbu sasa

We wakiamua kukupga chn kwa sababu ya usaliti utapgwa mara ngapi?
Na kwanini uwe msaliti Chawa? Chama lenu tunajua usaliti ni kama chakula. Ndo maana hamjaona shida kutusaliti watanganyika kwa kibibi wa kizanzibari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…