OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.
Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula, kisha nitakutongoza.
Amekuja kunimbia yupo na wenzake tayari wamekodi bajaji wanashuka toka Malimbe. Hela ipo lakini nimeona nimkomoe kiroho safi.
Nimetafuta ka bar kakishkaji ambacho hakawezi kukosa chips na Novida. Nimewapa maelekezo waje pale baadae tutaenda saa 1 Bambino.
Kupenda sifa amenitambulisha na mbwembwe kibao eti nipo serikalini. Nimewaambia naenda wakala wa bank na pia nawaitia mhudumu agizeni. Yule mhudumu nimempanga asisikilize mtu apeleke Novida 6.
Hii ni muda huu bado nipo kwa wakala nazuga zuga nione watasemaje hawa viumbe.