Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko poa kabisaUpo teacher....kwema huko ulipo?
Ungeita na wanao wengine halaf kila mtu akashinde mech zakeWanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.
Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula, kisha nitakutongoza.
Amekuja kunimbia yupo na wenzake tayari wamekodi bajaji wanashuka toka Malimbe. Hela ipo lakini nimeona nimkomoe kiroho safi.
Nimetafuta ka bar kakishkaji ambacho hakawezi kukosa chips na Novida. Nimewapa maelekezo waje pale baadae tutaenda saa 1 Bambino.
Kupenda sifa amenitambulisha na mbwembwe kibao eti nipo serikalini. Nimewaambia naenda wakala wa bank na pia nawaitia mhudumu agizeni. Yule wakala nimempanga asisikilize mtu apeleke Novida 6.
Hii ni muda huu bado nipo kwa wakala nazuga zuga nione watasemaje hawa viumbe.
Hii ndio nzuriUnahamisha attention yako kwa mmoja kati ya aliokuja nao kiasi cha kumfanya mualikwa kuona kabisa kafanya ukuwadi bila kudhamiria.
Sikushangai kwa maana akili yako finyu ndo imekupelekea uwaze hivyo so siyo makosa yako pole sana.Dalili za ufukara hizi...unawaza kumuumiza binadamu mwenzako! Kwanini?
Kwanini uumize mtu? Unajiskiaje?kama sio umaskini!Sikushangai kwa maana akili yako finyu ndo imekupelekea uwaze hivyo so siyo makosa yako pole sana.
Kui-judge comment ya mtu bila kuielewa ipasavyo nayo ni dalili ya umaskini tena umaskini mkubwa kabisa.Kwanini uumize mtu? Unajiskiaje?kama sio umaskini!
Kwaupande mmoja wa shilingi nihivyo ila upande mwingine, aisee wazazi tufundishe watoto wetu maadili na kujua nyakati zote za maisha, yaani shida na raha. Mabinti wanatamaa mithili ya kumpita Hawa wa Edeni mwenyewe. Naukiangalia serikari imepunguza kutoa loans na grants za chuo basi hali si hali. Wazazi tutunze watoto wetu na tuwafundishe kuridhika maana kukosekana kwahayo yote ndio foundation ya wao kuanza mikikimikiki. Binti anachukua jukumu lakujiingiza mwenyewe kwenye umalaya au kudate kwasababu hana pesa ya kujikimu na wenyenavyo huingia kwakukosa utoshelevu na kuigaiga. Blame ya kwanza ni sisi wazazi. Haki kuna binti amefikia hatua kiwango cha kupangiwa chumba cha laki 5 na wazazi wake na bado anapandisha class ya chumba kila term na bado wazazi hawashituki wala kumuonya binti kwasababu wanauwezo wakufanya hayo yote ila hawajui binti ameshabumbulika maana ayatakayo siku akiyakosa [emoji23][emoji23]atakapoenda hutajua. Malezi aisee, malezi.Acheni watoto wasome!
Hao mafataki wangetulia hao mabinti wangepangishiwa na Nani?muwaonee tu huruma mabinti wa wenzenuKwaupande mmoja wa shilingi nihivyo ila upande mwingine, aisee wazazi tufundishe watoto wetu maadili na kujua nyakati zote za maisha, yaani shida na raha. Mabinti wanatamaa mithili ya kumpita Hawa wa Edeni mwenyewe. Naukiangalia serikari imepunguza kutoa loans na grants za chuo basi hali si hali. Wazazi tutunze watoto wetu na tuwafundishe kuridhika maana kukosekana kwahayo yote ndio foundation ya wao kuanza mikikimikiki. Binti anachukua jukumu lakujiingiza mwenyewe kwenye umalaya au kudate kwasababu hana pesa ya kujikimu na wenyenavyo huingia kwakukosa utoshelevu na kuigaiga. Blame ya kwanza ni sisi wazazi. Haki kuna binti amefikia hatua kiwango cha kupangiwa chumba cha laki 5 na wazazi wake na bado anapandisha class ya chumba kila term na bado wazazi hawashituki wala kumuonya binti kwasababu wanauwezo wakufanya hayo yote ila hawajui binti ameshabumbulika maana ayatakayo siku akiyakosa [emoji23][emoji23]atakapoenda hutajua. Malezi aisee, malezi.
No aliyempangishia ni mzazi wake mwenyewe binti na wala mzazi haoni kuwa anatwist reality mindset ya binti wake. Pia tafadhali, mimi sijawahi kujihusisha na mabinti wachuo, siyo fataki mimi.Hao mafataki wangetulia hao mabinti wangepangishiwa na Nani?muwaonee tu huruma mabinti wa wenzenu
😂😂😂😂Pole,umeongea kiuchunguNo aliyempangishia ni mzazi wake mwenyewe binti na wala mzazi haoni kuwa anatwist reality mindset ya binti wake. Pia tafadhali, mimi sijawahi kujihusisha na mabinti wachuo, siyo fataki mimi.
😂😂😂 Hapana, kwanini?😂😂😂😂Pole,umeongea kiuchungu
Ni rahisi sana kula marafiki, ni kugusa tu huwa wananafkiana sana. Hao wa chuo ndio kabisa tena ukiwa na noti hata husumbukiNilivyokuwa kijana ila sasa ni mzee.
Niliwahi zunguka group zima.
Alikuja na rafiki zake wawili.
Nikaja pita nao wote.
Wanawake watu wa ajabu sana.
Wanajifanya kupendana kumbe sio kweli halafu wanakandiana balaa.
Alichofanya mleta mada ni udhaifu mkubwa na ulimbukeni.
Mkuu ishia hukohuko kwa wakala usirudi kabisa[emoji2959][emoji2959][emoji2959] zao waache hapo hapo wakisha simuliana huko watajifunzaWanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.
Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula, kisha nitakutongoza.
Amekuja kunimbia yupo na wenzake tayari wamekodi bajaji wanashuka toka Malimbe. Hela ipo lakini nimeona nimkomoe kiroho safi.
Nimetafuta ka bar kakishkaji ambacho hakawezi kukosa chips na Novida. Nimewapa maelekezo waje pale baadae tutaenda saa 1 Bambino.
Kupenda sifa amenitambulisha na mbwembwe kibao eti nipo serikalini. Nimewaambia naenda wakala wa bank na pia nawaitia mhudumu agizeni. Yule mhudumu nimempanga asisikilize mtu apeleke Novida 6.
Hii ni muda huu bado nipo kwa wakala nazuga zuga nione watasemaje hawa viumbe.
Ya kwanza nzuri ni kama unatawanya mipira ya pool table! Ila ya pili ndio haswaaa! Siku hiyohiyo moja na apply zote mbiliHawa wana dawa 2;
1. Unawaacha waagize kwa fujo. Mkimaliza unalipa cha kwako na cha uliemualika.
Kenge za design hiyo zilivyo za ovyo hutoka na vichupi vyao tu, huwa hawana hata mia mbovu. Unaitelekeza ifanywe asusa na wenye bar.
2. Unahamisha attention yako kwa mmoja kati ya aliokuja nao kiasi cha kumfanya mualikwa kuona kabisa kafanya ukuwadi bila kudhamiria.