Nilimwalika peke yake kaja na wenzie 4, nimewaagizia Novida

Mkuu OKW BOBAN SUNZU ,Naomba kuuliza kama utakuwa na uzoefu wa bei za viwanja maeneo ya Malimbe ama Buhongwa. Kiwanja tambarare cha kunyenyua nyumba ya vyumba sita kinaweza dai Tsh Mil ngapi?

Nimekufuata PM nikakuta imefungwa
Nipe muda niulize kwa mtu wa ardhi mkuu. Japo sijui shida ni nini PM sijafunga
 
Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.

Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula, kisha nitakutongoza.

Amekuja kunimbia yupo na wenzake tayari wamekodi bajaji wanashuka toka Malimbe. Hela ipo lakini nimeona nimkomoe kiroho safi.

Nimetafuta ka bar kakishkaji ambacho hakawezi kukosa chips na Novida. Nimewapa maelekezo waje pale baadae tutaenda saa 1 Bambino.

Kupenda sifa amenitambulisha na mbwembwe kibao eti nipo serikalini. Nimewaambia naenda wakala wa bank na pia nawaitia mhudumu agizeni. Yule wakala nimempanga asisikilize mtu apeleke Novida 6.

Hii ni muda huu bado nipo kwa wakala nazuga zuga nione watasemaje hawa viumbe.
Mwenzako niliwakimbia wa IFM,nikawaachia msala,waagizie kuku wanne na shampeni kimbia zima simu
 
Kosa kumwalika bila kumpa masharti. Mbona kwenye harusi anafahamu kuwa kadi ni single au double
Noo...Bro ..rafiki zake wa nini?yaani unataka demu ukimuaproach siku ukimuwambia muonane ni mpka umwambie kuwa asije na wenzie?True halijui hilo
 
Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.

Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula, kisha nitakutongoza.

Amekuja kunimbia yupo na wenzake tayari wamekodi bajaji wanashuka toka Malimbe. Hela ipo lakini nimeona nimkomoe kiroho safi.

Nimetafuta ka bar kakishkaji ambacho hakawezi kukosa chips na Novida. Nimewapa maelekezo waje pale baadae tutaenda saa 1 Bambino.

Kupenda sifa amenitambulisha na mbwembwe kibao eti nipo serikalini. Nimewaambia naenda wakala wa bank na pia nawaitia mhudumu agizeni. Yule wakala nimempanga asisikilize mtu apeleke Novida 6.

Hii ni muda huu bado nipo kwa wakala nazuga zuga nione watasemaje hawa viumbe.
😅😅😅
 
Back
Top Bottom