Nilimwalika peke yake kaja na wenzie 4, nimewaagizia Novida

Nilimwalika peke yake kaja na wenzie 4, nimewaagizia Novida

🤣🤣🤣🤣 Aha upo mrembo. Vipi cpa ilishapatikana au bado kuna somo wamekukamata?
Mungu hampi mwanadamu miaka ya kuishi bali mungu umpa mwanadamu muongozo wa kuweza kuishi miaka mingi. Sasa ni wewe kufuata huo muongozo au lah. Mie naona kabisa huo muongozo nilishafeli maana hapa nilipo nahesabu miaka tuu nisepe zangu six feet under.
Nipo mkuu, CPA bado tunapambana nikiipata mbona ntakualika kwenye graduation. Why ujione ushafeli? Si tunapewa msamaha na kurekebisha tulipokosea na our Almighty God, bado tuna nafasi ya kurekebisha nayo ni sasa.
 
Alvaro zipo za kopo. hizi
1.jpg

Bongo zipo hizi Numbisa?
 
Nipo mkuu, CPA bado tunapambana nikiipata mbona ntakualika kwenye graduation. Why ujione ushafeli? Si tunapewa msamaha na kurekebisha tulipokosea na our Almighty God, bado tuna nafasi ya kurekebisha nayo ni sasa.
Mungu kusamehee haimaniknishi kuwa ataondoa madhara ya yale uliyofanya. Hayo yapo pale pale my dear.

Pamba nije kula pilau la cpa. Totoz isi kali alafu una cpa...mhm kweli kuna kuolewa hapa🤔🤔🤔
 
Mungu kusamehee haimaniknishi kuwa ataondoa madhara ya yale uliyofanya. Hayo yapo pale pale my dear.

Pamba nije kula pilau la cpa. Totoz isi kali alafu una cpa...mhm kweli kuna kuolewa hapa🤔🤔🤔
Acha basi, CPA na kuolewa havihusiani bana😂
 
Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.

Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula, kisha nitakutongoza.

Amekuja kunimbia yupo na wenzake tayari wamekodi bajaji wanashuka toka Malimbe. Hela ipo lakini nimeona nimkomoe kiroho safi.

Nimetafuta ka bar kakishkaji ambacho hakawezi kukosa chips na Novida. Nimewapa maelekezo waje pale baadae tutaenda saa 1 Bambino.

Kupenda sifa amenitambulisha na mbwembwe kibao eti nipo serikalini. Nimewaambia naenda wakala wa bank na pia nawaitia mhudumu agizeni. Yule wakala nimempanga asisikilize mtu apeleke Novida 6.

Hii ni muda huu bado nipo kwa wakala nazuga zuga nione watasemaje hawa viumbe.
😅😅Pisi kali gharama bloo,unakimbia kugharamia wakati hitaji lako ni kupiga na kusepa?au ulitaka kuweka kambi?😅😅😅Kula uliwe
 
Naona mmetuamulia kulee mtu kaagiza JD na chakula gani Sijui cha bei kubwa hukuu watu wazima wamenyweshwa Novida!!

Deeeeeejjjaayyyyyy ongeza sautiiiii!🗣️
 
Back
Top Bottom