Nilimwalika peke yake kaja na wenzie 4, nimewaagizia Novida

Mi demu nimwite aje na mwenzake yaani atakuwa kanikera sana na lazima nimchane ukweli hiyo siku na ninamwambia live tuachane leo leo.
 
Ungeita na wanao wengine halaf kila mtu akashinde mech zake

Sent from my OPPO F1S using JamiiForums mobile app
 
Nacheka km mazuri ila enzi hata za ujana sijawahi enda na Mtu nikiitwa kwanza sipendi afu naona ushamba km Mtu staki kwenda namuambia tu sitaki baasi hii kukomoana nadhani Wadada wa chuo na vijora pambe uswazi ila dada anaejitambua hawezi fanya hvyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acheni watoto wasome!
Kwaupande mmoja wa shilingi nihivyo ila upande mwingine, aisee wazazi tufundishe watoto wetu maadili na kujua nyakati zote za maisha, yaani shida na raha. Mabinti wanatamaa mithili ya kumpita Hawa wa Edeni mwenyewe. Naukiangalia serikari imepunguza kutoa loans na grants za chuo basi hali si hali. Wazazi tutunze watoto wetu na tuwafundishe kuridhika maana kukosekana kwahayo yote ndio foundation ya wao kuanza mikikimikiki. Binti anachukua jukumu lakujiingiza mwenyewe kwenye umalaya au kudate kwasababu hana pesa ya kujikimu na wenyenavyo huingia kwakukosa utoshelevu na kuigaiga. Blame ya kwanza ni sisi wazazi. Haki kuna binti amefikia hatua kiwango cha kupangiwa chumba cha laki 5 na wazazi wake na bado anapandisha class ya chumba kila term na bado wazazi hawashituki wala kumuonya binti kwasababu wanauwezo wakufanya hayo yote ila hawajui binti ameshabumbulika maana ayatakayo siku akiyakosa [emoji23][emoji23]atakapoenda hutajua. Malezi aisee, malezi.
 
Hao mafataki wangetulia hao mabinti wangepangishiwa na Nani?muwaonee tu huruma mabinti wa wenzenu
 
Hao mafataki wangetulia hao mabinti wangepangishiwa na Nani?muwaonee tu huruma mabinti wa wenzenu
No aliyempangishia ni mzazi wake mwenyewe binti na wala mzazi haoni kuwa anatwist reality mindset ya binti wake. Pia tafadhali, mimi sijawahi kujihusisha na mabinti wachuo, siyo fataki mimi.
 
No aliyempangishia ni mzazi wake mwenyewe binti na wala mzazi haoni kuwa anatwist reality mindset ya binti wake. Pia tafadhali, mimi sijawahi kujihusisha na mabinti wachuo, siyo fataki mimi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Pole,umeongea kiuchungu
 
Ni rahisi sana kula marafiki, ni kugusa tu huwa wananafkiana sana. Hao wa chuo ndio kabisa tena ukiwa na noti hata husumbuki
 
Mkuu ishia hukohuko kwa wakala usirudi kabisa[emoji2959][emoji2959][emoji2959] zao waache hapo hapo wakisha simuliana huko watajifunza
 
Ya kwanza nzuri ni kama unatawanya mipira ya pool table! Ila ya pili ndio haswaaa! Siku hiyohiyo moja na apply zote mbili
 
Hizo wala usiwe na hasira unawatwanga kinywaji vizuri tu kiroho safi.
Badae unawahamishia skani .
Yaani utakula papuchi zote kesho wanajikuta wameloa wote unawapa Supu unafukuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…