Nilimwalika peke yake kaja na wenzie 4, nimewaagizia Novida

Ulichotakiwa kufanya ni ungeondoka na mmoja ktk wale aliokuja nao. Ungekua umetoa funzo kwa wote 6
 
Leo nimemualika dogo wa SAUT tumebadilishana namba juzi tu kwenye daladala. Nikamwambia njoo hapa Bambino tunywe na kula, kisha nitakutongoza.
Sema na wewe umezingua kumwambia akija unamtongoza.
Ameleta hao rafiki zake ili usimtongoze, kwa mwanamke ni ushindi huo, hata ulivyofanya hivyo hujawakomoa ila atajisifia kuwa alitaka kunitongoza na ameshindwa.
Kwa yeye anaona ameshinda sababu amekunywa bure na hujamvua chupi.
 
Yaani umemwalika Beyonce na yeye akaja na destiny's child!?
Tuliosomea Cuba unamwita Bob Marley anakuja na the wailers 😁
 
Kama kashinda basi kombe ndio hizo Novida
 
Well done..Siku nyingine akija na mtu/Watu wewe dili na rafiki yake zaidi tena mbele yake..yeye muhusika usi mpe attention..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…