Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?
Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja