Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Kwa ufupi sipendi mtu ambae yupo rafu asiejali kukeep mazingira ya usafi.
2020 life lilikaza kinoma kuna mwanangu mmoja akawa anakuja mageton tunakula, nmetoka kidogo nikamuacha geto kama 3 hrs hivi, narudi nakutana na taulo langu limeanikwa nje.
Naingia tu ndani mwamba ananiambia ameamua aoge, nilichoka nikamwambia ndio hadi kushea taulo? Dah alafu mshkaji ukimuona ni very smart na degree yake ila hajui kipi cha kushea/kutokushea. Aliomba samahani nikamuelekeza kishkaji ila ile taulo sikuitumia tena.