Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #81
PoaUtasemaje unaandaa chakula afu na mshikaji sema nikaanza kulisongesha.
Ila huyo jamaa ana mambo ya kimanzi
PoaUtasemaje unaandaa chakula afu na mshikaji sema nikaanza kulisongesha.
Ila huyo jamaa ana mambo ya kimanzi
Dah kanikwaza kususaAhahaahaha hilo tailaaaa ungelipga na kofiii c lijenge yakeee shenzi kabsaaa
Poa nimekupataNimekuambia kaongee nae kishikaji sio kumbembeleza
Ustarabu muhimuHujakosea, siku nyingine atakuwa na adabu akifika kwa watu
Shenzi kabisa nayatuliza mapepo af nawaambia vueni viatuSio mbaya, siku ukibanwa unahitaji maombi kwa jina la Yesu...tunaingia bila kuvua viatu na tutazurula ndani humo🤣
🤣🤣🤣SawaShenzi kabisa nayatuliza mapepo af nawaambia vueni viatu
Hata mike nae katokea na bado anaishi uraiani.. .. na wa chomboni mbona ndio wachafu wa kila kitu.. over!.. ni hao hao raia wakakamavu tu na tabia ndo zile zile.. .. ile ni hulka ya mtu tu!Mike punguza kukaa na raia ,wengi hawajastaarabika
Dah umenichana mike ,sema fresh umesomekaHata mike nae katokea na bado anaishi uraiani.. .. na wa chomboni mbona ndio wachafu wa kila kitu.. over!.. ni hao hao raia wakakamavu tu na tabia ndo zile zile.. .. ile ni hulka ya mtu tu!
Kwahy nisinge mwambiaUmemchana kwanini? umemuita mje mpige story halafu unamchana mwana 🤒
Haha 😄Duuuh.....
Naona nimevamia kijiwe cha teenagers.
Sanaa tu, sema ndio hivyo tena unakua umeshamjua huwezi kumkaripia . Ila inakera hasa kama haupendi mchangamchanga ndani.Et ana ingia na buti mna kwazikaga sana ?
Hahaha 😂🤣😅.Mbona Kanisani munaingia na viatu?, au ndani kwako ni msikiti?
Tena usikute ni mhehe, huenda kaenda kujinyonga😂😂Watu wa bara hawaambiwi hivyo.Angemvutia muda na si kumshambulia ghafla.
Mwambie polepoleSanaa tu, sema ndio hivyo tena unakua umeshamjua huwezi kumkaripia . Ila inakera hasa kama haupendi mchangamchanga ndani.
DuhIpo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?
Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja