Nilimwambia mshikaji wangu asitembee na viatu ndani lakini jamaa kasusa na kukasirika

yani umemuita mshikaji wako aje kula chakula alafu anaanza kutembea ndani na viatu..
mbona umetuacha maswali mengi sana mkuu
Soma vzr mkuu uelewe ni kawaida wanaume kushare food
 
Kuna namna ya maongezi yake huenda ni mjeda, ama ni hawa Rangers (Tanapa na the like) maana kuna picha alipiga akionesha mazingira ya pori za wanyama...

Kama Yupo kwenye kazi za Uniform huyo jjamaa Yako anattizo kubwa sanaa.....nafuatilia
Hayupo huko ila anapenda sana kutalii maporini na kwenye vitu natural ,unielewe aise
 
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?

Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
jamaa fala..hata mimi sipendi mtu wa aina hiyo anafungua mlango anaacha wazi au kushikashika vitu vyangu kindezi bila ruhusa. hilo la viatu ndio kabisaa
 
Kuna namna ya maongezi yake huenda ni mjeda, ama ni hawa Rangers (Tanapa na the like) maana kuna picha alipiga akionesha mazingira ya pori za wanyama...

Kama Yupo kwenye kazi za Uniform huyo jjamaa Yako anattizo kubwa sanaa.....nafuatilia
kwahy kila anaeongea swala fulani yupo chomboni sio?
 
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?

Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja

WANAWAKE MNA MAMBO. SISI WANAUME TUNAAMBIANA MAZITO KULIKO HILO NA WALA HATUJI ANZISHA UZI. NYIE WANAWAKE NI KULALAMIKA TU KILA WAKATI
 
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?

Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Kosa lako ni kutochagua wakati muhimu ungesubiri ale kwanza
 
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?

Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Viatu vipi mkuu.
1. Hata kondomu ni viatu
2. Mtu akijamiana bila kondomu huitwa kutembea peku.
3. Pia neno kufanya usafi...huwa ni kuilamba je unamaanisha nini?
 
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?

Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Dah ,Mwana kazingua any way Umepika nini leo mkuu.
 
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?

Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Kama nimgeni kweli huwa anaerekezwa sio kumchana vijana mierimike mnatuaibisha
 
Kuna watu wana harufu ya ajabu miguuni unaweza kujutia kumwambia avue viatu
 
Back
Top Bottom