Nilimwambia mshikaji wangu asitembee na viatu ndani lakini jamaa kasusa na kukasirika

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?

Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
 
Jifunze kuwa na subira/timings katika kila jambo.Usianze kumfokea tu mgeni wako ghaflaghafla,utampanikisha,kumtahayarisha na kumtia hasira za haraka.Always learn and live patiently with others,chap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…