Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Af toto la kiume lina susa kama wakikeHujakosea.
1. Sipendi mtu anayeacha mlango wazi kuanzia jua linapozama.
2. Sipendi mtu anayekaa mlangoni/kibaraza cha kuingilia ndani.
3. Sipendi mtu anayezalisha taka na kuziacha kwa compound.
Kitu ile ya kuvuta subira sina mm napo ona kitu nakuchana hapo hapoJifunze kuwa na subira/timings katika kila jambo.Usianze kumfokea tu mgeni wako ghaflaghafla,utampanikisha,kumtahayarisha na kumtia hasira za haraka.Always learn and live patiently with others,chap!
Mbona Kanisani munaingia na viatu?, au ndani kwako ni msikiti?Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?
Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Unawatafuta 😂Bila shaka huyo jamaa atakua mfupi...
Check mtu mfupi akipata hasira anavyovimba😊
View attachment 3396413
Hayo yote yanahitaji mazoea kutoka kwa uliye naye na ameishi kwa kujifunza kipi ni sahihi na kisicho sahihi kwa nyakati zipi!Kila mtu,hata mjinga,hapendi kukarahishwa/harassed.Hujakosea.
1. Sipendi mtu anayeacha mlango wazi kuanzia jua linapozama.
2. Sipendi mtu anayekaa mlangoni/kibaraza cha kuingilia ndani.
3. Sipendi mtu anayezalisha taka na kuziacha kwa compound.
Sasa mbona una pata shida na mambo madogo namna hii?We utembelewe na washikaji zako au ukiwa alone huwezi ita mshikaji au washikaji mkabadirishana mawazo
Mimi bachelaKwa nini kwanza upike? Shemeji yetu alikuwa wapi?
Tafuta jiko uepukane na mambo mengiMimi bachela
Naona dharau mtu kutembea na viatu mwanzo ukuvaa viatu kutembea navyo ndani gafla tu umevaa viatu unatembelea navyo ndani kweliiSasa mbona una pata shida na mambo madogo namna hii?
Hata mimi nilikuwa vivyohivyo lakini siku hizi nataka nigombee ujumbe wa Baraza la usuluhishi.Ujifunze ili uzoee polepole.Kitu ile ya kuvuta subira sina mm napo ona kitu nakuchana hapo hapo
Safi tu mbona mwanzo alipo fika hakutembea na viatu?Una uhakika ni safi hilo eneo? Usimhukumu kumbe ni jalala!!
Sawa babuHata mimi nilikuwa vivyohivyo lakini siku hizi nataka nigombee ujumbe wa Baraza la usuluhishi.Ujifunze ili uzoee polepole.
Itakuwa jamaa ni msukuma au mtu wa Mtwara hukoIpo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?
Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Kila sehemu kuna utaratibu wakeMbona Kanisani munaingia na viatu?, au ndani kwako ni msikiti?
Ni msukuma 😂Itakuwa jamaa ni msukuma au mtu wa Mtwara huko
VIPI KUHUSU ILE kauli ya jisikie kama uko nyumbani, au huitumii mkuu!No we mgeni ukifika kwa mtu tulia
Dah!Kwa hilo mimi nimehepa!Saguda47 njoo uone vibweka huku.Itakuwa jamaa ni msukuma au mtu wa Mtwara huko
Mimi kwangu haipo ukiwa una manga manga nitakuuliza una tafuta nini kwanini usitulie sehemu moja?VIPI KUHUSU ILE kauli ya jisikie kama uko nyumbani, au huitumii mkuu!