Ili afanyaje sasa?Achana na mi subwoofer, home theater Wala soundbar
Nakuelewa zile redio za zamani zenye Cd Player na Casset player hazina mpinzani hadi leo.Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast,hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.
Baada ya kuzingua/kufa,nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwangwa,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!
Ebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.
Asante!
Nadhani kuhusu high fidelity radio ni the same kama ya jamaa cd tatu ambayo imekufa kiufupi jamaa anataka kuenda na ulimwengu unaendaTafuta high fidelity music system uenjoy bro
I mean to switching from analogy to digitalTafuta high fidelity music system uenjoy bro
Ni the same kama yako cd tatuBrand ipi wanatoa wana hiyo high Fidelity?
Mimi najua sony ana wats 320 na hiyo watt 1000. 400 sijawahi sikiaShukran, inawezekana watts 1000 wameboresha zaidi!
Kama ni pale pale nahisi hii weekend ntapita nije nikupe hi kaka.Karibu, bado ipo kazi inaendelea!