Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Mimi nina Sony Dav-DZ650 ni home theater 1000Watt sijui hata ninachokisikia kama ni kelele au muziki,kwa ufupi nimeshaichoka.

Kama uwezo upo tafuta JBL wanazo soundbar nzuri iwe hiyo hiyo 5.1 unaweza ukaifurahia kidogo.
 
Hamia hapo mkuu kama hutaki mambo mengi na unataka mziki mzuri only..
Hiyo lazima itakuwa mashine, kuna spika pia za Bang & Olufsen, mi nina pc ya hp ina hizo spika...yan huwa nainjoy nikisikiliza hivi hivi kuliko kuunga na sound bar maana ni kelele tupu!
 
Mimi nina Sony Dav 650 ni home theater 1000Watt sijui hata ninachokisikia kama ni kelele au muziki,kwa ufupi nimeshaichoka.

Kama uwezo upo tafuta JBL wanazo soundbar nzuri iwe hiyo hiyo 5.1 unaweza ukaifurahia kidogo.
Asante
 
Nakuelewa zile redio za zamani zenye Cd Player na Casset player hazina mpinzani hadi leo.

Mchina bado akajifunze

Hitachi, Sonny, National Panasonic, Riptunes
Hivi zinapatikana kweli hizi? Maana nilkua nayo moja hapa Panasonic aiseeeeee mziki wake mpaka majirani walkua wanaona aibu kuwasha vi subwoofer vyao... Nililetewa na baba yangu mdogo alkuja likizo miaka kadhaa...
 
Kaka kwa music system JBL brand is the best aise tafute sound bar yako moja ya JBL watts 880W hautajutia....achana na ma home theatre kujaza space tu bei kubwa halafu hamna kitu.
Shukran nitaifatilia hiyo!
 
Hivi zinapatikana kweli hizi? Maana nilkua nayo moja hapa Panasonic aiseeeeee mziki wake mpaka majirani walkua wanaona aibu kuwasha vi subwoofer vyao... Nililetewa na baba yangu mdogo alkuja likizo miaka kadhaa...
Zipo mkuu ukitafta sehem wanazouza radio za mtumba zipo nilishawah kuzikuta dodoma kuna maduka zipo vinu vya hatar hapo
 
Hivi zinapatikana kweli hizi? Maana nilkua nayo moja hapa Panasonic aiseeeeee mziki wake mpaka majirani walkua wanaona aibu kuwasha vi subwoofer vyao... Nililetewa na baba yangu mdogo alkuja likizo miaka kadhaa...
Zipo Dar kuna wauzaji wa Redio Used from UK na Japan utazipata.

Mziki wake hauna Kelele, soft Base hadi unalala usingizi.

Madude ya mchina sasa? Kazi kula umeme tu
 
Back
Top Bottom