Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei inaenda ngapi? Na hapa dsm naweza ipata wapi?Zipo za kisasa mkuu kama hii
Sema bei mkasi sana ila mzee watu wanaojielewa(music enthusiast) wanakaa humu
Kama tu hii ukifanikiwa kuwa nayo aisee ulimwengu wote unauhisi umeukamata hata nje uwezi thubutu kutoka kabisa
View attachment 2920512
Waje Waseme Dar, Morogoro, Dodoma, MbeyaBei inaenda ngapi? Na hapa dsm naweza ipata wapi?
Mkuu mimi audio za mb 2 sijui 3 sina kwenye pc yangu, bongo fleva ikiwa ndogo sana basi mb 4...mimi nina quality ya studio mb 8 mpka 10!Mkuu file unazopiga kwa io machine unazitoa wapi(source), Mana machine Kama izo inabidi pia we na audio file yenye nyama sio izi m4a/mp3 za mb tatu ili ikae sawa
Sony watts 400 lazma uone ushubwada tu .Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.
Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwanga,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!
Hebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.
Asante!
Hizi pia ni nzuri mkuu..kiufupi music systems za JBL ziko vizuri sana japo kwasasa naona mchina ameanza kutoa copy hivyo ni kuwa makini tu upate original manufacturer brand.Mkuu, kwa matumizi ya nyumbani ukichukua zile party box za jbl kuna tatizo?
hometheater hzo ulizotaja hapo za sony sku hz ni takataka kbs kuna uzi humu jamaa alisema alienda shop kucheck mzk akakutana na seapiano sp 912 akamwambia muuza duka ampambanishie na hometheater za sony ili achukue mojawapo jamaa anasema sony zlichemka kbs na ndiye ameni inspire kutafuta iyo seapiano.Sony watts 400 lazma uone ushubwada tu .
Tafta dude la sony la 1000 watts au 1200watts kisha leta mrejesho. Hao jamaa hawana mpinzani ila kama fuko limetuna ibuka kwenye JBL Deepbass soundbars.
Nipo dar mkuu...Unaishi Wapi mkuu
Hii seapiano 912 bei yake ikoje mkuu!hometheater hzo ulizotaja hapo za sony sku hz ni takataka kbs kuna uzi humu jamaa alisema alienda shop kucheck mzk akakutana na seapiano sp 912 akamwambia muuza duka ampambanishie na hometheater za sony ili achukue mojawapo jamaa anasema sony zlichemka kbs na ndiye ameni inspire kutafuta iyo seapiano.
380,000 Hadi 400,000Hii seapiano 912 bei yake ikoje mkuu!
Kwa dar sijajua mkuuNipo dar mkuu...
Aweke Picture TuioneHii seapiano 912 bei yake ikoje mkuu!
Tafuta soundbar ya Samsung 9.1.4 inchWakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.
Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwanga,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!
Hebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.
Asante!
Bei Ngapi HiyoTafuta soundbar ya Samsung 9.1.4 inch
Huko uliko bei zake zikoje.... Cha msingi zipatikane tu, tutasafirisha..Kwa dar sijajua mkuu
Kama million 3 na laki 5Bei Ngapi Hiyo