Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Sijui ni kwenye uzi gani nilikuona unasifia Sound bar ya sony ikiwa inapiga mayday ikiwa inadunda huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watts 1000, ikiwa ni sound bar au home theater? Extrovert aje atofautisha.

Music is a therapy
Naweza nisiwashe Tv kama sina movie mpya, ila radio must.
Sio sound bar kipenzi ni home theater DZ650 watts 1000 [emoji1787][emoji1787] me hata waiponde kikubwa kwangu naenjoy nayo vizuri tu haya mambo mengine tunawaachia wenyewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna duka nimewapa 500k yangu wanaishika maana hawakuwa nayo watts 320. Nikawa nasubiri walete.. Kumbe naenda kuzika hela? Kwahiyo nikaichukue nimpe bwana angu akaile tu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana
 
Kama wewe ni mtu unapenda mziki mnene mzuri kama ule wa zamani wa vitofa vya kupanga- Tuner, Cassete Deck, Equilizer na Amplifier, Sony siku hizi wana HIFI MUSIC SYSTEMS za series SHAKE-10D to SHAKE-100D.
Kwa DSM zinapatikana SHAKE-10D hadi SHAKE-70D.
 
Sio sound bar kipenzi ni home theater DZ650 watts 1000 [emoji1787][emoji1787] me hata waiponde kikubwa kwangu naenjoy nayo vizuri tu haya mambo mengine tunawaachia wenyewe
HT ina mvuto. Alot of speakers 😍
Hiyo Tv showcase lazima iwakeeee
 
Usicheke [emoji1787][emoji1787] aniambie kama nachezea hela nikazichukue tu. Maana watts 320, walisema 630k. Kwa kuwa hawakuwa nayo, nikapunguza nikaacha 500k. Ni duka nalofahamiana nao,,

Michezo ya kuzika hela sichezagi [emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787] Ebu chukua kama yangu achana nazo hizo
 
Kama wewe ni mtu unapenda mziki mnene mzuri kama ule wa zamani wa vitofa vya kupanga- Tuner, Cassete Deck, Equilizer na Amplifier, Sony siku hizi wana HIFI MUSIC SYSTEMS za series SHAKE-10D to SHAKE-100D.
Kwa DSM zinapatikana SHAKE-10D hadi SHAKE-70D.
Shukrani mkuu, kwa Dar naweza pata wapi? Kkoo zipo?
 
Nilikua nataka kununua speaker ambayo ninaweza tembea nayo. Kwa budget yangu nikapata W-King T8, aiseeh mziki inayotoa sina mpango wa kununua sound system nyingine tena.
 
Attachments

  • 20231228_084402.jpg
    20231228_084402.jpg
    4.1 MB · Views: 36
Anayetumia au aliyewahi kutumia mziki mmojawapo hapa tafadhali nishauri!
 
Attachments

  • IMG-20240118-WA0022.jpg
    IMG-20240118-WA0022.jpg
    46.1 KB · Views: 37
  • IMG-20240118-WA0025.jpg
    IMG-20240118-WA0025.jpg
    35.3 KB · Views: 37
Back
Top Bottom