Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Shukrani mkuu, kwa Dar naweza pata wapi? Kkoo zipo?
Kuna agent wa SONY anaitwa ANISUMA, wako jengo la Hydary Plaza ground floor, hapo utaona system mbalimbali za SONY. Kwa kawaida hizi home theater na sound bars ni kwa ajili ya kuongeza sauti toka kwenye TV ili kupata sound effects za show mbalimbali za TV. Kwa muziki mzuri wa nguvu tafuta HIFI MUSIC SYSTEM.
 
Back
Top Bottom