Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Kwahiyo ni movie tu! Nikitaka kusikiliza amapiano nafanyaje jamani [emoji23]

Natamani kukutumia ka clip kanagoma usikilize kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.

Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwanga,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!

Hebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.

Asante!
Ulichukua ndogo mno.
Chukua LG, Hisense ama Sony 1000W au 1200W utafumua paa
 
Back
Top Bottom