Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwa hizo watts 320 nakusihi wahi haraka ukachukue hela yako 😂 humo hutapata mziki unaoeleweka. Ukishachukua hio 500K hebu nitumie elf 20 tu ya sadaka ya shukurani.Usicheke 🤣🤣 aniambie kama nachezea hela nikazichukue tu. Maana watts 320, walisema 630k. Kwa kuwa hawakuwa nayo, nikapunguza nikaacha 500k. Ni duka nalofahamiana nao,,
Michezo ya kuzika hela sichezagi 😃😃