Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.

Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwanga,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!

Hebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.

Asante!
Tafuta hi Fi speaker update high sound ,clear, deep & Base na balance iliyoenda shule tafuta Sony au LG boom Dj Visual
 
Back
Top Bottom