Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.

Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwanga,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!

Hebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.

Asante!
HT ndio kila kitu mimi naoana
 
Mkuu hivi vi portable Bluetooth speaker mfano Jbl n.k vin sauti ya kutasha ya kueza kuenea kwenye room na bass ya kishindo kama hizi subwoofer
Kama unataka JBL ya maana nunua partybox series. Hiyo ndogo ni arround 1.2m og.
 

Attachments

  • Screenshot_20240304-180618_Chrome.jpg
    Screenshot_20240304-180618_Chrome.jpg
    125.3 KB · Views: 18
Back
Top Bottom