Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Aweke Picture Tuione
Hiyo
download.jpg
 
Shukrani kwa wadau kutupa machimbo! Hata mimi itabidi ninunue hizo tu hizi za kichina tuwaachie vijana wanaoanza maisha magetoni..
watu humu mnadharau sn kwmb vjana wanaoanza maisha ndo wanatumia mchina mageton wkt juz nimemenya laki 3 na elf 40 kununua seapiano sp 912 sasa hiyo pesa ni ya kjana anayeanza maisha eti eeeh au ndo mtakmbilia kusema mnamilik mizk ya mil 8 wkt ndan mna vi aborder vya laki moja. Watu wa jf bhana.
 
hiyo huku mwanza ni 340 to 350..ile sp 910 ni 320 to 330 zote n hatari bt 912 imeboreshwa kdogo mambo kadhaa bt zote zna bass ya 10 inch kaz kwako sasa.
bt kuwa makin usje ukapgwa maana raia huku uskuman wanapgwa sn wanauziwa sp 919 inayofanania na sp 912 kwa mbali wanauziwa bei ya sp 912 wkt hiyo sp 919 ukubwa wa mzk na spka yake ni sawa na sp 1002, 661 au 8800 bt sema ynyw ina twita ndefu kama za sp 912. Bei ya hiyo sp 919 kwa huku mwanza ni 230 to 250 kaz kwako sasa.
 
Wengne humu wanaponda subwoofer za mchina wanadai wana sound bar za ukweli wkt geto wana sound bar za aborder znazouzwa lak 1 mpk 150 zmejaa madukan huko humu za kuambiwa changanya na zako wengne wana subwoofer zle za kwny magari zny booster yake kwa nyuma zna umbo kama pipa ndo wameweka ndan sasa humu kelele kama kengele ya ibada hakika ukiyaona ya kiboko basi mamba akomae akasome.
 
watu humu mnadharau sn kwmb vjana wanaoanza maisha ndo wanatumia mchina mageton wkt juz nimemenya laki 3 na elf 40 kununua seapiano sp 912 sasa hiyo pesa ni ya kjana anayeanza maisha eti eeeh au ndo mtakmbilia kusema mnamilik mizk ya mil 8 wkt ndan mna vi aborder vya laki moja. Watu wa jf bhana.
Achana nao hao mkuu
 
Ukipata ka chance hebu tupigie picha vitu vya msingi vinavyotofautisha sp 912 na sp zingine mkuu wangu..
 
Kuliko kumiliki Aborder bora ninunue simu aina ya Sony afu na earphones 🎧 niwe nasikiliza mziki tu... By the way sijawahi kumiliki Sea piano, wala Aborder wala subwoofer lolote la kampuni za kichina toka huu mziki wangu wa Panasonic uharibike..
 
Wengne humu wanaponda subwoofer za mchina wanadai wana sound bar za ukweli wkt geto wana sound bar za aborder znazouzwa lak 1 mpk 150 zmejaa madukan huko humu za kuambiwa changanya na zako wengne wana subwoofer zle za kwny magari zny booster yake kwa nyuma zna umbo kama pipa ndo wameweka ndan sasa humu kelele kama kengele ya ibada hakika ukiyaona ya kiboko basi mamba akomae akasome.
oya kwa hiyo unatuchana au..
 
Ukipata ka chance hebu tupigie picha vitu vya msingi vinavyotofautisha sp 912 na sp zingine mkuu wangu..
ni rahisi sn sp 912 pale kwny display imeandkwa kbs sp 912 na nilikubwa sn wkt huo sp 919 ukubwa wake n sawa na sp 1002. Tatzo wabongo hawasomagi model ndpo wanapopgiwa hapo au ukfka shop ulzia kwanza sp 919 ukshaicheck mwambie je sp 912 unayo akikuonyesha utauona utofauti wake. Thanks
 
Sony watts 400 lazma uone ushubwada tu .

Tafta dude la sony la 1000 watts au 1200watts kisha leta mrejesho. Hao jamaa hawana mpinzani ila kama fuko limetuna ibuka kwenye JBL Deepbass soundbars.
Hujawahi niangusha kwenye kitengo chako acha nikupende tu [emoji3059] halafu nitakuja pm
 
[emoji1787][emoji1787] Ujue D nimecheka sana sio tungemuita Extrovert me bwana naenjoy na home theater yangu watts 1000 kiukweli naenjoy hata mtu aponde vipi
Sijui ni kwenye uzi gani nilikuona unasifia Sound bar ya sony ikiwa inapiga mayday ikiwa inadunda huko 🤣🤣🤣

Watts 1000, ikiwa ni sound bar au home theater? Extrovert aje atofautisha.

Music is a therapy
Naweza nisiwashe Tv kama sina movie mpya, ila radio must.
 
Sony watts 400 lazma uone ushubwada tu .

Tafta dude la sony la 1000 watts au 1200watts kisha leta mrejesho. Hao jamaa hawana mpinzani ila kama fuko limetuna ibuka kwenye JBL Deepbass soundbars.
🤣🤣🤣 kuna duka nimewapa 500k yangu wanaishika maana hawakuwa nayo watts 320. Nikawa nasubiri walete.. Kumbe naenda kuzika hela? Kwahiyo nikaichukue nimpe bwana angu akaile tu?? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom