Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza.

Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)

Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena yenye kipato, sikushangaa najijua, ila sasa akabadilika, tukikutana haogi anaenda hivyo hivyo kwenye mizunguko.

Mara nikilala kwake nanyolewa nywele na yeye anakuwa wa Kwanza kuona nimenyolewa. Sasa juzi nimeacha kazi na yeye akaacha siku hiyo hiyo.

Naona hayo yote ila bado niko nae tu. Sasa saivi nikiwa nae naumwa Homa ya ajabu, (walinzi hawamtaki, wamemchoka anavyoninyanyasa)

Yani mpaka walinzi wameingilia Kati, hali ilikuwa mbaya ndugu zangu.

Kuweni makini kwenye mahusiano, kuweni makini.
Ebu tusitiane minyege mchana wa jua kali aiseeee...😋
 
Ni mshirikina..
Mara aniambie yeye bila mimi hawezi, mara oh we tajiri sana mke wangu, Kuna mda anaropoka vitu ukija ukikaa unatahamaki
naomba tuwe wote ili na mimi uniambukize walinzi.
na pia niwe napata bahati kama huyo jamaa uliyekuwa nae.
 
Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza.

Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)

Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena yenye kipato, sikushangaa najijua, ila sasa akabadilika, tukikutana haogi anaenda hivyo hivyo kwenye mizunguko.

Mara nikilala kwake nanyolewa nywele na yeye anakuwa wa Kwanza kuona nimenyolewa. Sasa juzi nimeacha kazi na yeye akaacha siku hiyo hiyo.

Naona hayo yote ila bado niko nae tu. Sasa saivi nikiwa nae naumwa Homa ya ajabu, (walinzi hawamtaki, wamemchoka anavyoninyanyasa)

Yani mpaka walinzi wameingilia Kati, hali ilikuwa mbaya ndugu zangu.

Kuweni makini kwenye mahusiano, kuweni makini.
Lipia tangazo kwa muhasibu wetu Ushimen na katibu Half american
 
Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)
Duuuuh ngoja kwanza nakuja
 
Back
Top Bottom