fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Usijipe moyo kuwa ni malaika hao, ni MAJINI ndiomana yanajitokeza na kukwambia kiti wao. Alafu hakuna watumishi wa shetani wema, kwasasa utaona ni kama walinzi kumbe wao ndio wanakunyong'onyesha utakapokuja gundua tayari mambo yako yote yameshaharibika.Mala
Malaika ndugu yangu